Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Kwani wewe umemuelewaje. Nahisi hujamuelewa kabisa. Wewe unayedoubt. Kafanye hayo yote.
Usomi kwa kiwango cha PhD, si ukariri wa Darasani.
Wewe ndiyo unatufundisha ulichogundua, kuandika presentation inayokubalika kimataifa, kwamba umeibua jambo jipya, na ufumbuzi wake.

Ukiwa mbunge na waziri, sidhani kama utapata muda huo.
 
Hivi una akili timamu kweli?
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Muhongo alisukumizwa kwenye siasa na Kikwete.

Kabudi na Bashiru walisukumizwa kwenye siasa na Magufuli
 
Mkuu hivi unaelewa kinachojadiliwa hapa ? Sio kila mada lazima uchangie. Hapa watu wanaonyesha jinsi elimu inavyo haribiwa kwa evidence wewe unaonyesha ujinga wako hapa.
 
Umeongea kwa mihemko kunywa maji utulie, point hapa ni vitendo vya wanasiasa kuingilia mifumo yetu ya elimu kwa kupata phd za mchongo hivyo ku undermine ubora wa elimu yetu. Duniani kote elimu bora ndio nguzo ya mapinduzi kwenye maisha ya mwanadamu maana tunapata full cooked proffessionals wanaweza kuja kulisaidia taifa
 
Tatizo lilianzia kwa PhD ya mwendazake, watu waliothubutu kuhoji uhalali vigezo vyake vya kitaaluma, kilichowakuta kila mtu anatambua maafa yaliyotokea. Sasa hii leo wabobezi wamejitokeza kuhoji hadharani.

Ni vyema hata ile ya tindikali ya maganda ya korosho nayo iwekwe kwenye kapu moja na hizi za watu wake wa karibu. Tuzo za shahada ni lazima ziheshimike katika utolewaji wake kwa kuzingatia vigezo vyote vya kitaaluma.
 
Daa hii Title/Topic mbona kichekesho hata kwa mimi wa la saba B [emoji23][emoji23]...
 
Mwendazake aliua critics!
A very unproffessional attitude!
 
Natamani Mh.pole pole atie shule hapa ili tuongeze list ya wahuni.

Karibu mzalendo Humphrey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…