Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Kwa jinsi walivyo watasema kujua kiingereza siyo kigezo cha kupata PhD
 
Aibu kubwa sana !
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Kwanini walikimbilia kwenye siasa ?
 
Hapa umenena mkuu, tuna tia aibu sana...Mie nilijaribu ubunge last year daah kwanza nikajiona out of place kabisa!
 
Ukitaka kuwajua wasomi wa Tanzania, itazame na kuichunguza hii picha kwa dakika kumi...1,2,3,...


...4,5,6,7,8,9, Naam hawa ndio wasomi wenyewe...madaktari na maprofesa...masikini Tanzania chini ya CCM!​
 
Mkuu:
Kwa Chuo kikuu cha Timbuktu kulikuwa na masomo mengi yàliyo fundishwa hapo.
Ni zaidi ya seminary ni vyema ungefuatilia kwa makini kuhusu historia yake.
 
Hizi PhD kwa nini zinasakwa kwa mwendokasi hivi na wanasiasa?
Na mimi nashangaa sana, au kuna ka kitu ahahahah, naona title hapo kama kweli iko vile aisee, itabidi Dotto aachie ngazi ahahaha
 
Mkuu hivi unachozungumza unakitafakari?? Huwezi kumpangia mtu cha kuifanyia elimu yake. Kuwa Prof. au Dr. haimainishi kwamba ndio kunakufunga kuwa mtawala au kufanya kazi za kisiasa. Kila mwanadamu anayohaki ya kiutumia elimu yake vile anavyojisikia maana ni elimu yake.
 
Ndalichako Yuko kimya tu .huyu si ndo alituambia bila A level hakuna uni. Anaruhusuje uzwazwa kwenye PHD .Hadi Dr Msukuma
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Hizi Dr,prof na ujinga mwingine kama huo hazijawahi kuwa na msaada wowote kuondoa ujinga wa wahusika..

Ndio maana wengi wamefeli kwenye nyanja mbalimbali.Hao ndio wanaoitwa wa jalalani ,wanaongea professorial rubbish na kuongea nonsense za kuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…