Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Mkuu si sahihi kufikiria hivyo.
Chuo Kikuu cha kwanza cha usomi duniani kilikuwa Timbuktu, West Africa, zaidi ya miaka 1000 iliyopita, fuatilia.
Na kilikuwa na mitaala ya kiislamu.
Tumbuktu ni 1100+
Kuna Huyu wa 1088
Screenshot_20211220-125917.jpg
 
Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti. View attachment 2050044

Plenty of Masters degrees theses based on a more or less similar theme:

Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:

"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.

Kwanini msiombe yafuatayo:

1. Abstract of the PhD thesis/dissertation

2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation

Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.

Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:

3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)

4. External Examiner(s)

Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).

Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."

S Muhongo
17.12.2021"

MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.

Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!

View attachment 2050012
Duh
 
"Mwenyezi Mungu mtenda haki, naomba huyo huyo kijana uliye mpa uwezo wa kutengeneza kirusi kinacho utesa ulimwengu kwa sasa basi mpatie utaalam mwingine atengeneze kirusi kitakacho lamba kizazi haramu cha (CCM) tu, asibaki hata nzi mmoja ee baba maana haiwezekani nchi ni ya watu zaidi ya million 60 ila wanao faidi hawafiki hata million 10. Naomba huyo kijana aanze kazi mapema kadri utakavyo penda". Amen
 
Hilo la kuheshimu wataalamu na kuwalipa istahilivyo wala halihitaji katiba mpya ni suala la common sense tu. Kwani
Wanasiasa wasiteuliwe kuongoza Taasisi za Elimu.
Sasa tazama Mwenyekiti Umoja wa Wanawake(CCM) ndiye ati Mwenyekiti wa University Council inayosimamia quality education.

Haistaajabishi wana CCM ndio wanapewa PhD za hisani.
 
Hata na sisi wanazuoni tuna pepo kimbelembele, au pengine ni tabia ya watanzania kwa ujumla?

Tuna tabia sana ya kufanya mambo yetu kwa kujipendekeza kwa wanasiasa. Eti kama kuna mjadala au kongamano kuhusu kitu fulani -- say, kuhusu elimu au sayansi au teknolojia vyuoni utashangaa wageni rasmi kule mbele ni wakuu wa wilaya, madiwani, mwenyekiti wa CCM, n.k. Sijawahi ona wamewekwa watu proven wenye uwezo na interest kwenye mambo husika.

Sa kama conference inahusu ICT na mambo yake mkuu wa wilaya na wenyeviti wa ccm wanahusikaje pale? I would rather have niwe na Max Melo kama mgeni rasmi kwenye conference ya ICT than kuweka pale limtu clueless la kuimba slogans za kisiasa. Utayasikia "nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania....kazi iendelee..! Afu aliyewaalika unkakuta ni profesa.
 
Sasa Mwekyekiti wa Umoja wa Wanawake(CCM) ndiy mwenyekiti wa kudadavua usomi huko UDOM!
Majanga matupu.
 
Mkuu si sahihi kufikiria hivyo.
Chuo Kikuu cha kwanza cha usomi duniani kilikuwa Timbuktu, West Africa, zaidi ya miaka 1000 iliyopita, fuatilia.
Na kilikuwa na mitaala ya kiislamu.
Dah
Mkuu unatumia nguvu nyingi sana .kujibu hoja za ndugu juma kilaza ambaye hata historia ya kabila lake sijui kama anajua???
 
Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:

"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.

Kwanini msiombe yafuatayo:

1. Abstract of the PhD thesis/dissertation

2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation

Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.

Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:

3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)

4. External Examiner(s)

Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).

Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."

S Muhongo
17.12.2021"

MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.

Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!

View attachment 2050012
May I ask the same questions? Ombeni PhD ya Professor Muhongo mpitie maswali hayo hayo. Alishawahi kuwa Waziri, impact yake ni nini? Wanasema ana PhD ya majabali, yaani explosives, imesaidia nini na nini? Wapi? Dotto Biteko simjui wala huyo mernziye simjui - sina sababu ya kuwajua, hawakaja kwangu kuomba ajira. Unless una sababu maalumu I would rather give them the benefit of doubt.
 
Soma hapo kwa kuanzia, na ujiridhishe.
Nchi hii kuna watu vichwa wanaotambulika kimataifa.
 
Ni vitu vya kushangaza sana. Musukuma tunaelewa hiyo takataka ameipata toka kwenye takataka huko India.

Yaani huyu Biteko na Jafo, ambao hata ukijadiliana nao, ni vigumu kufikiria wana viwango hata vya shahada za pili, leo eti wana PhD.

Kwa hili, UDOM imeonekana ni chuo takataka. Hata hao lecturers na professors wa UDOM, kuna taarifa pia hawana viwango vinavyotakiwa. Waligawana uprofesa na udokta kama mahindi ya kuchoma.

Kwanza wachunguzwe hao lecturers, pili hawa waliopewa PhD za michongo waundiwe tume ya kitaluma. Chuo kitazamwe upya, na kufanyiwa marekebisho makubwa ili kitoe elimu yenye ubora.
Nchi hii kila sehemu ni upigaji,
Ikulu upigaji,polisi Ili wafsnye upigaji,lazima wabambikie watu kesi,na wanazuoni wameona wanaachwa mbali kwenye ukwasi,sasa na wao wanatumia Urefu wa "kamba"zao kufsnya upigaji.
 
Lakini hili la elimu kuchakachuliwa linasikitisha sana.
 
May I ask the same questions? Ombeni PhD ya Professor Muhongo mpitie maswali hayo hayo. Alishawahi kuwa Waziri, impact yake ni nini? Wanasema ana PhD ya majabali, yaani explosives, imesaidia nini na nini? Wapi? Dotto Biteko simjui wala huyo mernziye simjui - sina sababu ya kuwajua, hawakaja kwangu kuomba ajira. Unless una sababu maalumu I would rather give them the benefit of doubt.
Kwanza utambue kuwa majabali, ricks, na explosives, ni vitu viwili mbali mali.
Kama anga na ardhi!
Baada ya hapo hata kama ni mwalimu,sijui nianzie wapi!
 
Pengine atatizo yote yanaanzia hapa:

View attachment 2050754

Toka website ya UDOM
Huyu Hon. Stargomena Lawrence Tax ndiye CHANCELLOR.
Ana Dr.Phil ya Japan

View attachment 2050758
Huyu Hon. Gaudentia Mugosi Kabaka
Huyu ndiye CHAIRMAN (au Chairperson)of the University Council.
Preoffesion: Teacher, Graduate wa Kleruu TTC, Chairperson wa Umoja wa Wanawake CCM

JF I rest my case!

Mwenyekiti wa wanawake CCM! Utaona ni jinsi gani siasa ina haribu elimu yetu.
 
Back
Top Bottom