jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Jamaa hajielewi huyo.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajielewi huyo.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wapo wapo tu..nawe nyewe njaa zinawasumbua.Je waliopo huko tcu wanajua vigezo vyenyewe?
Tumbuktu ni 1100+Mkuu si sahihi kufikiria hivyo.
Chuo Kikuu cha kwanza cha usomi duniani kilikuwa Timbuktu, West Africa, zaidi ya miaka 1000 iliyopita, fuatilia.
Na kilikuwa na mitaala ya kiislamu.
Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti. View attachment 2050044
www.journalijar.com
DuhProf. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwanini msiombe yafuatayo:
1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).
Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."
S Muhongo
17.12.2021"
MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
View attachment 2050012
R.I.P beni wa saanane. Ulichokua ikipinga sasa kimepata baraka za dola ya kijani kibichiMasikini inasemekana hizi mambo za PhD za michongo ndiyo mambo zilizosababisha Ben Saanane akatoweka.
Wanasiasa wasiteuliwe kuongoza Taasisi za Elimu.Hilo la kuheshimu wataalamu na kuwalipa istahilivyo wala halihitaji katiba mpya ni suala la common sense tu. Kwani
Hata na sisi wanazuoni tuna pepo kimbelembele, au pengine ni tabia ya watanzania kwa ujumla?Wanasiasa wasiteuliwe kuongoza Taasisi za Elimu.
Sasa tazama Mwenyekiti Umoja wa Wanawake(CCM) ndiye ati Mwenyekiti wa University Council inayosimamia quality education.
Haistaajabishi wana CCM ndio wanapewa PhD za hisani.
Hizi PhD kwa nini zinasakwa kwa mwendokasi hivi na wanasiasa?
Sasa Mwekyekiti wa Umoja wa Wanawake(CCM) ndiy mwenyekiti wa kudadavua usomi huko UDOM!Hata na sisi wanazuoni tuna pepo kimbelembele, au pengine ni tabia ya watanzania kwa ujumla?
Tuna tabia sana ya kufanya mambo yetu kwa kujipendekeza kwa wanasiasa. Eti kama kuna mjadala au kongamano kuhusu kitu fulani -- say, kuhusu elimu au sayansi au teknolojia vyuoni utashangaa wageni rasmi kule mbele ni wakuu wa wilaya, madiwani, mwenyekiti wa CCM, n.k. Sijawahi ona wamewekwa watu proven wenye uwezo na interest kwenye mambo husika.
Sa kama conference inahusu ICT na mambo yake mkuu wa wilaya na wenyeviti wa ccm wanahusikaje pale? I would rather have niwe na Max Melo kama mgeni rasmi kwenye conference ya ICT than kuweka pale limtu clueless la kuimba slogans za kisiasa. Utayasikia "nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania....kazi iendelee..! Afu aliyewaalika unkakuta ni profesa.
DahMkuu si sahihi kufikiria hivyo.
Chuo Kikuu cha kwanza cha usomi duniani kilikuwa Timbuktu, West Africa, zaidi ya miaka 1000 iliyopita, fuatilia.
Na kilikuwa na mitaala ya kiislamu.
PhD za ChamaSasa Mwekyekiti wa Umoja wa Wanawake(CCM) ndiy mwenyekiti wa kudadavua usomi huko UDOM!
Majanga matupu.
May I ask the same questions? Ombeni PhD ya Professor Muhongo mpitie maswali hayo hayo. Alishawahi kuwa Waziri, impact yake ni nini? Wanasema ana PhD ya majabali, yaani explosives, imesaidia nini na nini? Wapi? Dotto Biteko simjui wala huyo mernziye simjui - sina sababu ya kuwajua, hawakaja kwangu kuomba ajira. Unless una sababu maalumu I would rather give them the benefit of doubt.Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwanini msiombe yafuatayo:
1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).
Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."
S Muhongo
17.12.2021"
MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
View attachment 2050012
May I ask the same questions? Ombeni PhD ya Professor Muhongo mpitie maswali hayo hayo. Alishawahi kuwa Waziri, impact yake ni nini? Wanasema ana PhD ya majabali, yaani explosives, imesaidia nini na nini? Wapi? Dotto Biteko simjui wala huyo mernziye simjui - sina sababu ya kuwajua, hawakaja kwangu kuomba ajira. Unless una sababu maalumu I would rather give them the benefit of doubt.
Nchi hii kila sehemu ni upigaji,Ni vitu vya kushangaza sana. Musukuma tunaelewa hiyo takataka ameipata toka kwenye takataka huko India.
Yaani huyu Biteko na Jafo, ambao hata ukijadiliana nao, ni vigumu kufikiria wana viwango hata vya shahada za pili, leo eti wana PhD.
Kwa hili, UDOM imeonekana ni chuo takataka. Hata hao lecturers na professors wa UDOM, kuna taarifa pia hawana viwango vinavyotakiwa. Waligawana uprofesa na udokta kama mahindi ya kuchoma.
Kwanza wachunguzwe hao lecturers, pili hawa waliopewa PhD za michongo waundiwe tume ya kitaluma. Chuo kitazamwe upya, na kufanyiwa marekebisho makubwa ili kitoe elimu yenye ubora.
na upuuzi huu unafanywa na wanasiasa wakisaidiwa na walimu wa vyuo vikuu....TCU ndio wanabariki hii michezo michafu katika elimu.
#MaendeleoHayanaChama
Lakini hili la elimu kuchakachuliwa linasikitisha sana.Nchi hii kila sehemu ni upigaji,
Ikulu upigaji,polisi Ili wafsnye upigaji,lazima wabambikie watu kesi,na wanazuoni wameona wanaachwa mbali kwenye ukwasi,sasa na wao wanatumia Urefu wa "kamba"zao kufsnya upigaji.
Kwanza utambue kuwa majabali, ricks, na explosives, ni vitu viwili mbali mali.May I ask the same questions? Ombeni PhD ya Professor Muhongo mpitie maswali hayo hayo. Alishawahi kuwa Waziri, impact yake ni nini? Wanasema ana PhD ya majabali, yaani explosives, imesaidia nini na nini? Wapi? Dotto Biteko simjui wala huyo mernziye simjui - sina sababu ya kuwajua, hawakaja kwangu kuomba ajira. Unless una sababu maalumu I would rather give them the benefit of doubt.
Pengine atatizo yote yanaanzia hapa:
View attachment 2050754
Toka website ya UDOM
Huyu Hon. Stargomena Lawrence Tax ndiye CHANCELLOR.
Ana Dr.Phil ya Japan
View attachment 2050758
Huyu Hon. Gaudentia Mugosi Kabaka
Huyu ndiye CHAIRMAN (au Chairperson)of the University Council.
Preoffesion: Teacher, Graduate wa Kleruu TTC, Chairperson wa Umoja wa Wanawake CCM
JF I rest my case!