Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Huyu anawashwa kweli, amejaa chuki tu. JPM alikuwa sahihi kula kichwa, hauwezi kuwa na mtumishi roporopo namna hii.
Babu yako,baba yako au mjomba wako amewahi kuwa CAG? Au walau kuwa Mwalimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam? Una bahati mbaya sana wahenga wako si roporopo lakini hawakufika hata robot ya huyu bwana pamoja kwamba wao ni wameokoka
 
Hivi huyu mzee hajalipwa stahiki zake?

Naona hadi leo moyo wake umekuwa ukiweweseka kwa cheo cha kuteuliwa...
 
Kwani hili la CAG ilikuwa mara yake ya kwanza kuvunja katiba na sheria za nchi? Mbona ilikuwa ni kawaida yake tu? Isitoshe, kabla ya kumuondoa CAG alionyesha wazi kukerwa naye. Tunajua kuwa alijaribu hata kwa kutumia Bunge lakini ikashindikana. Na sababu ya kukerwa na CAG ni matumizi ya fedha yasiyozingatia bajeti na taratibu pamoja na hulka ya CAG kujiamini na kutaka kufanya kazi yake kwa uhuru na weledi. Kama Rais bila shaka yoyote alijua kuwa sheria yoyote inayopingana na katiba ni batili na hapaswi kuitumia kufanya uamuzi. Haiyumkiniki pia kuwa hakupata ushauri dhidi ya kumuondoa CAG kwa kutumia sheria hiyo lakini akataa kusikiliza kwa jinsi alivyokuwa na "inflated ego" na jinsi alivyokuwa anahaha kuondondona na kikwazo hicho.
 
Kalipwa maana hata aliyemtisha atapelekwa hata na pingu naye yalimkuta ya kumkuta.
 
Kwamba ukishakuwa na wadhifa fulani serikalini hairuhusiwi kusitishwa?

Huyo Mzee asijitoe fahamu..

Hakuna majibu yeyote aliyoyapata,,ameamua kwenda na beat.
 
Ni kitendo kibaya sana kuingilia Uhuru wa C.A.G katika utendaji kazi wake na kutoa taarifa.

Ndiyo maana hatumbuliki kirahisi hadi vikao vya jopo la majaji wa Jumuia ya Madola wajadiliane na kuthibitisha kuwa kukiuka kanuni au kuwa mkosa ndipo anaweza kuondolewa kwa nafasi yake.
 
Kumsakama CAG Kwa namna moja ama nyingine huleta tafsiri mbaya sana na mashaka makubwa kuhusu usalama wa rasilimali za Umma.

Hii inahitajika ufahamu kuweza kuelewa.
 

Uko sahihi kabisa, Nimetembelea mara kadhaa uarabuni, lkn sijawahi ona muarabu akiwa sigida.
Ni hawa tu kina asad ndiyo sijui wameitoa wapi.
 
Ulishawahi kufundishwa na Prof maishani mwako? Au hapo mwalimu Nyerere hakuna maprof?

Shida yako wewe unafikiri kila profesa ni msomi. Kuna wengine hawajaelimika, illiterate professors. Na tunawaona kwa matendo yao, kama hivi anavyojidhihirisha asad.
 
Yaani we jamaa hujielewi kweli, je kama anamsema JOB? kwani job yupo kwenye nafasi yake hadi leo? Pia kwa taarifa yako dunia ilishamchukua kitambo uliza anawafanyia nini SCANDINAVIA COUNTRIES
 
Niko upande wa Profesa lakini comment yako hii ni best dhidi yetu, uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…