Kwani pale walipelekwa kuwafundisha au kuwafelisha? Unazani watu hatujui janja janja zao kwa wanachuo, tatizo si kama wamefanya vibaya shida nyingi huanza kwa walimu wao, wala rushwa zapesa mpaka ngonosasa kama umefeli unataka upewe pass ya mchongo? Hiyo ni dhambi kubwa sana kwani wenzako wamejitahidi wewe umekwenda disco kila weekend halafu unataka ufaulu kwa ubwerere.
Mwenzako alitekwa,akaoneshwa mpaka kifo na uhai,unakuja ongea uharo!Huyu anawashwa kweli, amejaa chuki tu. JPM alikuwa sahihi kula kichwa, hauwezi kuwa na mtumishi roporopo namna hii.
Ukiona watu wanafurahia kifo chako ujue wewe ni muuaji, kwani jambazi likiuwawa kuna anayechukia?.Mi huwa nashangaa wanaofurahia mtu flani kufa na wao kubaki,hivi nani hatakufa?
Membe kashtua watu,Le Mutuz kashtua watu,bado kuna watu wanaona wao ni spesho sana,JPM anaonekana kifo chake hakiji kuwagusa wao,inashangaza sana,ni sawa na kijana anayemcheka mzee,wakati nayeye anauendea uzee,yaani ni vituko sana.
Hiyo QUR'AN ya wapi umesoma!?..maana Qur'an ya mtume inasema mtume na baadhi ya waumini Wana alama paji la USO kwa athari ya kusujudu,pia imesema mcha mungu we huwezi mjua anamjua Mungu tu,wewe umewezaje kuwajua wachamungu!?mwislamu safi mcha Mungu huwezi ukamuona ana sigida. wenye sigida wengi ni wanafiki, wana chuki na roho mbaya na katili sana. Hata hivyo mbona waarabu hizo sigida hawana? Hata imamu/sheikh mkuu wa maka hana, inakuwaje hawa waswahili wanazo, wanajisugua makusudi?
siku hizi mumezidi ufeki, munanunua mitihani kila kona, akitokea profesa hataki rushwa munaanza kumsema anafelisha.Kwani pale walipelekwa kuwafundisha au kuwafelisha? Unazani watu hatujui janja janja zao kwa wanachuo, tatizo si kama wamefanya vibaya shida nyingi huanza kwa walimu wao, wala rushwa zapesa mpaka ngono
Sasa tutasemaje, Mungu mwenyewe ukiomba msamaha anasamehe na kufuta kabisa, sasa yeye alishasema watu wakasikia, lakini yeye na nyepesi daa , sijui walikuwa na ajenda gani za siri[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha unafiki basi! Kwanza alivyo kakaa unaanzaje kumwambia habari za rushwa? Mtu anatisha hhivyo?siku hizi mumezidi ufeki, munanunua mitihani kila kona, akitokea profesa hataki rushwa munaanza kumsema anafelisha.
Hivi kweli ufaulu halafu ufelishwe si uende ukashtaki ili paper yako isahihishwe na mwingine?
Kwanini aliondolewa kwenye nafasi yake.Prof. Assad kaonyesha roho mbaya sana, ana chuki mbaya mno hadi kwa marehemu, huyu hafai kabisa kuwa na nafasi ktk sehemu yoyote ile, sbb ana roho mbaya sana, ndio namuona alivyo ndani rohoni mwake, hafai huyu Prof. ana roho ya kichawi, shetani kabisa
Kwanini aliondolewa kwenye nafasi yake kinyume na Katiba?.Hiyo QUR'AN ya wapi umesoma!?..maana Qur'an ya mtume inasema mtume na baadhi ya waumini Wana alama paji la USO kwa athari ya kusujudu,pia imesema mcha mungu we huwezi mjua anamjua Mungu tu,wewe umewezaje kuwajua wachamungu!?
Kwani ile ninafasi alipewa ya milele? Halafu niyakuteuliwa na usipoendana na aliyekuteua unnataka afanye nini, boss wako akuweke umsaidie kisha ujifanye mjuaji akuache ili iweje sasa!Kwanini aliondolewa kwenye nafasi yake.
Yeye katumbuliwa kama wengine walivyotumbuliwa halafu anajiona perfect sana kuwa yeye hakustahili kutumbuliwa?😀Kwani ile ninafasi alipewa ya milele? Halafu niyakuteuliwa na usipoendana na aliyekuteua unnataka afanye nini, boss wako akuweke umsaidie kisha ujifanye mjuaji akuache ili iweje sasa!
Anataka huruma labda arudishiwe nafasi yake [emoji3]Apunguze makasiriko sasa yani yeye toka atumbuliwe ni kilio tu. Anywe sumu basi kama inamuuma.
Alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa na Ikulu, kusema ukweli ni kosa?.Kwani ile ninafasi alipewa ya milele? Halafu niyakuteuliwa na usipoendana na aliyekuteua unnataka afanye nini, boss wako akuweke umsaidie kisha ujifanye mjuaji akuache ili iweje sasa!
Yaani sijui alikuwa na mipango gani ya siri si kwa kulalamika hukoYeye katumbuliwa kama wengine walivyotumbuliwa halafu anajiona perfect sana kuwa yeye hakustahili kutumbuliwa?[emoji3]
Huyo mzee ana Ego ya kishamba sana.
Sasa aliongea angesubili hatua zichukuliwe?Alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa na Ikulu, kusema ukweli ni kosa?.
Aliondolewa ili waibe watakavyo maana yeye alikuwa kikwazo wa kufichua wezi na wanyang'aji.Huyu jamaa kutumbuliwa ilimuuma sana japo CAG ni nafasi ya kuteuliwa.