Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Kama na yeye huyu mwizi alivyo na chuki kwa JPM.

Juzi kubwa lenye signa.

Linadanganya watu kuwa linasali kumbe mwizi mkubwa.
wacha maneno leteni ushahidi wa kuwa yeye Prof ni mwizi.

Na hiyo signa sijui ni kitu gani hicho.
 
Profesa wa mchongo huyu .Profesa huwezi kua una chamba kila siku
Alikutwa hajajiandaa,, kila siku tunawambia, ukipata madaraka yatumie vizuri,, 😂 yeye akaendekeza swalaah swaalah...
 
Bwasheikh mambo vipi! Kuna mambo tulikubaliana sawa ila hili la kusema aliiba pesa hili tutaulizwa aliziweka wapi? Je zimerudishwa? Hili linaleta ukakasi wenye akili hapa watatushtukia. Nimekufuata huku private ili watu wasione tunabishana kwenye ule uzi. Tukazie kwenye zile hoja nyingine.
Kwahiyo hapa ndio inbox? Hao wengine walioba uliwahi kuambiwa wameziweka wapi, ziliwahi kurudishwa? Kama hakukuwa na wizi, taharuki ya ile 1.5t ilikuwa ya ni nini?
 
Haukuwa na muda wa kufuatilia matangazo ya tv, lakini unafuatilia ninachoandika kumhusu Mwamba Magufuli! Safi sana kijana!!
Huku ndio eneo letu la kujidai, hakuna sifa za kijinga kama huko kwenye tv kulikojaa propaganda. Hicho unachookindika kuhusu huyo mwamba hakifagiliwi kihivyo boss.
 
Profesa gani huyu anayelalama kwa ajili ya cheo cha kuteuliwa kwa miaka mitano sasa; inaonekana atalalama hadi kaburini. Ni kama vile alikatishwa mipango yake ya mbeleni kwenye cheo hicho kabla hajaanza kuitekeleza. Labda alikuwa hajaanza kula vya kutosha akanyang'anywa tonge ghafla. Angesoma sheria zote za bunge akawa anazijua. ALitolewa madarakanai kwa kufuata sheria ya Bunge. Mahakama ilisema kuwa sheria hiyo ya Bunge haikuwa halali, lakini ndiyo sheria iliyokuwepo wakati anasimamishwa. Angekuwa na busara ya kutosha angepinga sheria ile kabla haijafanya kazi dhidi yake badala ya kumlaumu mtu aliyeitumia dhidi yake.
Alidanganywa na ZZK kuwa alikuwa juu ya kila kitu kufuatana na katiba. Kumbe JK alipitisha ya National Audit Office iliyomwekea ukomo wa kuwa ofisini. Ikala kwake hata ilipoamuliwa na mahakama kuwa ile sheria ya JK haikumsaidia sana.
 
Ninyi mnaongea ya juu juu tu. Huyu bwana alipitia wakati mgumu sana. Hata kuwepo kwake hai mpaka leo, kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na dini yake.

Wenzetu waislam, wanasema muislam mwenzako ni mtu wa karibu zaidi kuliko mwingine yeyote.

Wapo watu (sijui kama ni busara kuwataja, maana mpaka sasa wapo kwenye ngazi za juu za Serikali na utumishi wa umma. Wanaojua codes, mmoja ana majina yenye herufi JM, na mwingine BSR, wote waislam) walishikirishwa katika mipango ya kumpoteza Duniani huyu profesa aliyekuwa CAG eti kwa sababu ana kiburi. Na jambo hilo ilikuwa lifanyike baada ya uchaguzi wa 2020. Watu hao hao walioshirikishwa kwenye mipango hiyo, kwa vile ni waswahilina wenzake, walienda kumtonya kuwa aondoke haraka mjini. Na alifanya hivyo.

Ikumbukwe kuwa alitekwa kwa mara ya kwanza akiwa Mlimani City, lakini ikawa bahati nzuri watu wengi wakawa wameona. Akaachiwa baada ya masaa 8.
Elewa kuwa CAG siyo mtu binasfi ni taasisi. Nitakujibu kwa kirefu tukishamaliza fainali, sasa hivi niko bize na mambo ya fainali.
 
Mwacheni Proffessor aseme anapojisikia,

Yeye ndiye alotendwa,

Maumivu alopitia anayajua yeye zaidi,

Kiatu usichokivaa huwezi jua kubana Na kuumiza kwake.

Tuheshimu watu wote.
 
Hivi ni sheria ndiyo haikuwa hali au kitendo na kumuondoa CAG kazini kinyume cha Katiba? Katiba iko wazi kuhusu utumishi wa CAG mara baada ya kuingia nafasi hiyo. Katiba ndiyo msahafu wa kuzingatia kuhusu kumuondoa CAG kazini Kutokufanya hivyo ni ushahidi wa uovu, hila na njama mbaya ya uamuzi wenyewe.
SOma vizuri sheria ya CAG na Katiba ndipo ulewe. Zitto anadanganya kuwa hukumu ilikuwa dhidi ya Magufuli klumuondoa CAG kinyume cha Katiba lakini iwapo ulisoma hukumu ile ya mahakama yenyewe ilsema kuwa sheria ya Bunge iliyoweka kifungu kuwa CAG atafanya kazi kwa vipindi vya miaka mitano mitano ndiyo inayokiuka Katiba. Huyu jamaa aliondolewa kwa kufuata sheria hiyo ya Bunge. Na ukisoma vizuri sana utagundua kuwa Katiba ndiyo iliyoandikwa vibaya kwani inasema CAG atafanya kazi hadi afikie miaka 60 ila sheria hiyo ya Bunge iliyotumika kumuondoa yenyewe iliongeza umri huo hadi miaka 65. Kosa la Katiba ni kuwa iwapo mtu atateuliwa kuwa CAG akiwa na miaka tuseme 31 basi atalazimika kuendelea kuwa CAG kwa miaka mingine 30 au 35 kwa mujibu wa sheria hiyo ya Bunge, na sidhani kama hilo ndilo lililokuwa lengo la Katiba hiyo. Hakuna CAG ambaye amewahi kutumika zaidi ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano vilivyowekwa na sheria hiyo hiyo ya Bunge; yeye alitumika kipindi kimoja tu ambayo pia ilikuwa chini ya sheria hiyo kwani ilikuwa inaruhusu Rais kumteua tena au kuteua CAG mwingine, ambapo rais aliamua kuteua CAG mwingine.
 
Sheria ya kijinga sana ile,nchi ilipitia wakati mgumu sana.
Sheria hiyo ilikuwepo siku nyingi sana. hakuna CAG aliyewahi kutumika zaidi ya vipindi viwili bila kujari umri wake. Miaka yoyte ya nyuma Rauis allikuwa anaamua kumuongezea CAG kipindi kingine, lakini mwaka huo fateful, Rais akaamua kutoongeza kipindi cha pilia kama ambavyo sheria hiyo ilivyokuwa inaruhusu.
 
Kwahiyo hapa ndio inbox? Hao wengine walioba uliwahi kuambiwa wameziweka wapi, ziliwahi kurudishwa? Kama hakukuwa na wizi, taharuki ya ile 1.5t ilikuwa ya ni nini?
Daaah.... Nimechanganya.
 
Hiyo QUR'AN ya wapi umesoma!?..maana Qur'an ya mtume inasema mtume na baadhi ya waumini Wana alama paji la USO kwa athari ya kusujudu,pia imesema mcha mungu we huwezi mjua anamjua Mungu tu,wewe umewezaje kuwajua wachamungu!?
kwa hiyo wasiyo na sigida ni waislamu feki?
 
Professor endelea mwaya kuongea unapojisikia maana wewe ndiye ujuaye mtihani ulokuwa ukikukabili wakati ule.

Isijirudie ile kwa Kweli.
 
IMG_8610.jpg



Tunapaswa kuwa na mtazamo wa hivyo [emoji115] ili tuweze kuendelea.

Tunahitaji fikra huru.
 
mwislamu safi mcha Mungu huwezi ukamuona ana sigida. wenye sigida wengi ni wanafiki, wana chuki, roho mbaya na ni wakatili sana. Hata hivyo mbona waarabu hizo sigida hawana? Hata imamu/sheikh mkuu wa maka hana, inakuwaje hawa waswahili wanazo, wanajisugua makusudi?
Sigida usanii tu.
 
Back
Top Bottom