Na amesema alipigiwa simu akaambiwa aitishe mkutano na waandishi wa habari akajibu siitishi,aliyempigia simu akamwambia lakini mimi ni boss wako ujue nakuagiza akamjibu kuwa mimi na wataalam wangu tumejadiliana tumeona hakuna cha kuongea kuongeza tena zaidi ya kilichopo kwenye ripoti hiyo kwahiyo sitaita waandishi wa habariUongo ukiachwa ukawa mkubwa ,watu watauamin .
Assad yuko sahihi, nasasa anawafumbua macho watu sababu za yeye kutolewa nje ya ofsi
Mwachen asemeeeee,
Amna cha maana hapo mradi ni mzuri sana na ni wa gharama nafuu.najua amwezi kunielewa kwasababu mnaamin kila wazo la asad ndo wazo sahihiProfesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ninvitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary...
Na yeye alivyokua hai aliruhusu watu kujitetea?Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Wacha kuongea vitu usivyovifahamu mkuuAlikuwepo Baba wa Taifa. Alilitumikia Taifa kwa muda mrefu kuliko Rais yeyote. Alikuwepo Mkapa, na wengineo kama mzee Kawawa, Aboud Jumbe, Abdul Wakili - wote wametangulia mbele za haki. Lakini hakuna ambaye baada ya kuondoka kwake, maneno yalikuwa hivi!!
Kama unajua KIFO ni Hatma ya Binadamu basi uache kukejeli waliotangulia maana hata ww ni Mzoga Mtarajiwa. Umebeba mzigo mkubwa sana Moyoni, hope you find peace.Na familia ya Azory Gwanda, na ya Ben Saanane aliwaambia nini......
Na watu waliokufa na tetemeko la Kagera, alisema nini.....
Akafe mbele tu
Mimi siogopi kufa wala kuoza, ni lifecycle ya binadamu...
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani.. aachae kutumika kisiasa.
Well said , ni kweli hayuko specific , nyaraka zipi aliomba . Anonekana ni mwenye hasira , chuki , kwa sababu hizo hawezi kuwa na balanced judgement ya anachokisemaKuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
Hivi mnapotosha kwa maslahi ya nani?ATCL ilikuwa na madeni makubwa ya huko nyuma pesa zingeingia akaunti ya ATCL zingelambwa zote na wadai wengine wakiwa hewa.Serikali ndio ikazinunua na kuzikodisha kwa ATCL
Yaani hata niwe mzoga mtarajiwa baada ya hii post yangu, ni poa tuKama unajua KIFO ni Hatma ya Binadamu basi uache kukejeli waliotangulia maana hata ww ni Mzoga Mtarajiwa. Umebeba mzigo mkubwa sana Moyoni, hope you find peace.
Kumbe ndio maaana tumeibiwa sanaaaMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Ulitaka apelekewe "moto" wa wasiojulikana?Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
You don't deserve Assad as his student asingekuwa na mwanafunzi popoma kama wewe unaekataa ukweli. Majizi huwa yanateteana. Albeit you're a thief tooNamfahamu alikuwa mwl wangu.. ILA KWENYE HILI NIMEMSHUSHA KWA UNAFIKI WAKE
Na amesema alipigiwa simu akaambiwa aitishe mkutano na waandishi wa habari akajibu siitishi,aliyempigia simu akamwambia lakini mimi ni boss wako ujue nakuagiza akamjibu kuwa mimi na wataalam wangu tumejadiliana tumeona hakuna cha kuongea kuongeza tena zaidi ya kilichopo kwenye ripoti hiyo kwahiyo sitaita waandishi wa habari
Aliyempigia simu akakata kwa hasira
NB: Hajamtaja aliyepiga simu ila tu alikua "boss" wake
Kwahiyo unataka kusema ulikuwa humjui mwenda zake tabia yakeMbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Wacha kuongea vitu usivyovifahamu mkuu
Mkapa kapigwa maneno na mkewake akiwa hai hata hawakusubiri afe, JK tumemsema humu humu akiwa hai tena kuanzia yuko na rungu la madaraka mpaka kastaafu. Na tutamsema tu hata akiwa mfu,rekodi lazima ziwekwe sahihi. Awamu ya NNE ilikua miyeyusho tu, na hiyo ya 5 nayo wacha watu wachonge tu na Maza nae atasemwa pia mpk tukae sawa. Nchi yetu sote hii