Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Kweli kabisa, tujifunze, tulipokosea, ili tusirudie.Sio kila jambo ni kwa ajili ya kusutana, bali mambo mengine ni kwa ajili ya kujifunza sehemu tulizokosea ili kutupa muongozo kwa maamuzi yetu ya kesho.
Hili la katiba mpya, Rais apunguziwe madaraka, ni la muhimu sana!
Mwendazake alikuwa anaelekea kuwa hatari kwa afya ya nchi na hata majirani zetu.
Everyday is Saturday............................... 😎