Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

Sio kila jambo ni kwa ajili ya kusutana, bali mambo mengine ni kwa ajili ya kujifunza sehemu tulizokosea ili kutupa muongozo kwa maamuzi yetu ya kesho.
Kweli kabisa, tujifunze, tulipokosea, ili tusirudie.
Hili la katiba mpya, Rais apunguziwe madaraka, ni la muhimu sana!
Mwendazake alikuwa anaelekea kuwa hatari kwa afya ya nchi na hata majirani zetu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kuna kitu hakiingii akilini. Unaposema aliomba maana yake ni nini? Huwa hatuombi nyaraka, huwa tunapewa nyaraja kufanya audit. Ukishaanza audit utakuwa uneshapewa kika unachohitaji, kimeandaliwa kabla hujaja. Wao pia ni wahasibu kama wewe, wanajua mahitaji. Isitoshe tayari una data za mwaka jana na mwaka juzi hii si audit mpya. Kama angesema aliomba nyaraja za SGR, zipi, akanyimwa ningeelewa, lakini alipisema aliomba za SGR NA za ndege NA za barabara nikajua si kweli, these are different audits. Na hasemi ni nyaraka gani, kwa sababu hata jina ni nyaraka, bajeti ni nyaraja, bank statement ni nyaraka, invoice ni nyaraka na risiti ni nyaraka unapewa moja kwa moja kutoka benki au kwa creditor hupitii kwa Magu. Na pale anaposema ana uzoefu na hayo mambo si kweli, ni wa chuo kikuu mtu wa library. Sitashangaa kama hata train hajapanda si mtu wa Bara.
hizo nyaraka haupewi kishkaji kama unapewa nyanya.
kuna taratibu zake. sasa kama taasis husika ina uwezo wa kukataa au kukubali ku handover data. depends na situation ikoje.
 
Mkuu, labda nikuhoji kitu - hivi unataka ku-pre empty kitu gani,husitufanye Watanzania hatuna akili ya kubaini kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia.

Professor Assad is unquestionably mega smart upstairs - hapa anatumia a diplomatic language ku-drive point home, wewe unatujia na Mickey Mouse auditing jargon kwa lengo la kujaribu ku-derail mada ili Prof. Assad aonekane ni mzushi/muongo - who can take your skewed comments/remarks seriously - may be the marines.

Kwani Prof. Assad anaposema aliomba nyaraka zinazo husu: SGR,ATCL na Barabara nk hii si inadhiliisha kwamba yeye kama Auditor in Chief wahusika bila shaka wahusika wa vitengo tajwa hapo juu walipewa instructions from higher Authority kwamba wasishirikiana na Prof. Assad from day one - yeye kutumia neno "aliomba" ina maana hakupewa hii inakupa picha gani zaidi kama sio niliyo yataja hapo juu ie hawakutaka kuwa audited, swali ni: nani alikuwa anawapa jeuri ya kumdharau CAG.

Nakumbuka vizuri Watanzania tulivyo shuhudia kwa macho yetu Prof. Assad alivyo ondolewa ofisini unceremonously like a seasoned criminal, wakahakikisha wanaleta flying squad ya waadishi wa habari na TV ya taifa kuonyesha LIVE mzee wa watu anavyo timuliwa ofisi - humiliating poor Assad to the letter, kilicho msaidia Prof ni his MAKER aliye muhumba by endowing him with a nerve of steel, hakuteteleka chochote, as if that was not demonic enough wabunge wa chama tawala Bungeni wakamshambulia kweli kweli kwa maneno ya ajabu just to get even - kisa kwa nini anakuwa mkweli. Sasa ameanza kufunguka zaidi by spilling the beans, nyinyi mnaanza kuja na mbinu mpya ya kumshabulia tena ili mfunge mdomo kwa mara nyingine tena.
Umetumia nguvu nyingi kumjibu HUYO mpuuzi..Kwakua hatakuelewa...!na NI mpuuzi haswa..HAMNA KITU ANAJUA
 
Kama Prof kasema haya basi nimeamini hii nadharia; " bila kujali elimu na uzoefu wetu, kama huwezi ku.ithibiti hisia(emotions) zako huna tofauti na wanyama kama nguruwe, punda, nk maana wao huongozwa na hisia tu! Kwa muktadha huu Asad naye ni kama nguruwe!
WEWE utakuwa kinyesi Cha Nguruwe
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Unasutwa uongoz wa awamu ya tano acha ujinga SUKUMA GANG.Kwanza yey hakutaka watu waseme km ww kibishi muulize Lissu.Kila mtu atakufa waache watu wampumulie ameumiza sana watu hvy km ulifurahia utawala wake endelea kukuna likitambi lako
 
Eti niliomba nyaraka nikanyimwa,

Itakua walishazifahamu tabia zake za kupenda kufanya yasiyomhusu ndio maana wakamnyima ,

Ingawa hajasema ni nyaraka zipi ili tujue kama alikua anastahili kupewa ama la.
ww nae umechanganya mafile. ni sheria kuwa kila taasis lazima iwakilishe nyaraka kwa Office ya CAG kwa ukaguzi.
tabia si sababu.. hiyo ni excuse ya kitoto kabisa mbele ya professionalism
 
Kukabidhi ofisi ya CAG hakukuvui Utanzania, hakumvui Taaluma yake, hakumvui ulipaji kodi, sababu zote hizo zinamfanya awe na haki ya kuhoji

Anataka Nyaraka ziwekwe wazi ili tuone hoja alizotoa hayati kukataa Bandari ya Bagamoyo ni hoja za kweli au za 'kizalendo'?
huwa nakuelewa sana mkuu, na hapa umeweka uchama pembeni kabisa. kongole

ccm kama chama huchafuliwa na watu ambao hulinda uovu unaofanywa na viongozi wao kwa ku uhusisha na chama. eti fulani kaharibu, tumlinde ili chama kisichafuke.. huo ni ujinga, fulani kaharibu atenganishwe na chama ili avune alichokipanda..

wengi hao walinufaika na huo ubadhirifu, hawataki uwekwe wazi maana na wao soon au later wataumbuka tu.

wanajificha kweny kichaka cha eti marehem hasemwi vbaya
 
ndiyo iwekwe wazi tuone, siyo story za vijiweni
Tatizo nyinyi mlikuwa hamsikilizi hotuba zake ndio.maana mambo.mengi mko gizani .Raisi alihutubia kabisa kuwa Hizo ndege ni serikañi.imenunua sio ATCL na akadema tutawakabidhi ATCL pamoja na ndege za Raisi amb.azo zipo zinakaa bure tu wazitumie

Zile ni mali ya serikali huwezi ziona kwenye vitabu vya ATCL sababu sio mali yao na hawakununua wao
 
Tatizo nyinyi mlikuwa hamsikilizi hotuba zake ndio.maana mambo.mengi mko gizani .Raisi alihutubia kabisa kuwa Hizo ndege ni serikañi.imenunua sio ATCL na akadema tutawakabidhi ATCL pamoja na ndege za Raisi amb.azo zipo zinakaa bure tu wazitumie

Zile ni mali ya serikali huwezi ziona kwenye vitabu vya ATCL sababu sio mali yao na hawakununua wao

kwani yeye alinunua kwa fedha zake mfukoni au kwa kodi za wananchi?

kama alisema hivyo, hofu yake ilikua ipi kutoa hizo nyarka kwa cag?
 
Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.

Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Anatoa la rohoni, then anakuwa huru......marehemu hakutaka /hakuruhusu kukosolewa"

Vumilieni tu,.. tutasikia na kuona mabaya mengi ya marehemu, inawezekana ikawa ndio habari ya mjini kwa miaka 10 ijayo, vumilieni tu MATAGA.
 
kama alisema hivyo, hofu yake ilikua ipi kutoa hizo nyarka kwa cag?
umesikiliza upande mmoja na kutoa conclussion .Ushahidi wa kusema hakkutiñoa uko wapi.Kafa atasingiziwa mengi

Ripoti añizosoms huyo Former CAG Assad miaka yake mbona hakusema kuwa alinyimwa nyaraka kwenye ripoti zake? Ripoti zote za Audit ukinyimwa taarifa fulani kwenye ripoti yako inataliwa uandike na usome hivyo Yeye mbona hilo.hakulionyesha kwenye ripoti zake za wakati huo? Naye mbabaishaji na mnafiki tu hana lolote
 
Wote wanaotetea huu wizi wa awamu ya tano, hawaamini kama ameshakufa Kenge mwizi
Kwa taarifa tu, ameshaoza mpaka sasa muda huu
Na tunataka audit zote mpaka tutamvua mpaka suti aliyozikiwa kama ni ya wizi
CAG wa sasa ameshavua mpaka chupi aliyozikiwa
Na Huo mzoga mpaka ukweli wote wa wizi unapatikana atakuwa uchi kaburini
Taratibu mkuu, tumuache Marehemu Apumzike, hata kama ni kukosoa bhasi tufanye hivyo huku tukijua kuwa amekwisha kufa.
 
Tunakumbuka kipindi kile alipotea siku kadhaa na aliporudi hakutaka kusemasema sana nahisi this is the right time ngoja aseme...
Daah nakumbuka ile ishu sijui walimfanya nini kule walikompeleka,mzee alivyorudi hakutaka kusema, eti nilipata safari ya ghafla na huko hakukuwa na network, ndiyo mpaka mkewe na familia wasijue?
 
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu
Professor anasikitisha sana
Serikali gani inafanya kazi kwa mtindo huo?
Halafu yeye si alipewa meno?kwa nini hakuyatumia au kujiuzulu?
Watanzania tunaongoza kwa unafiki duniani,hasira zote kwa marehemu,haisaidii kitu
 
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa.

Ulishamalizana nao basi sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi. Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine.
Huu mtindo wa kubana watu uliisha tarehe 26/3 /2021. Hii ni nchi huru sasa.
 
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa.

Ulishamalizana nao basi sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi. Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine.
Exactly....with due respect Assad atulie....hili sasa ni gubu anaharibu.
 
Auditors kisheria Wana haki ya kushirikishwa kwenye vikao vyote, na access ya nyaraka yoyote ktk kipindi chochote ambapo huyo auditors yuko agreed.
Auditors kwa mfano anaweza akaitisha sales za mwaka huu hata kama anakagua financial statements za mwaka jana
Tuwe wakweli huyu Assad naye alikuwa na matatizo mfano nyaraka za bandari ya bagamoyo alizitaka za nini wakati ilikuwa watendaji wako tu kwenye hatua za majadiliano ambayo.hata hayajafikia muafaka wowote? Alitaka za nini kama sio umbeya tu? Alitaka apewe minute za vikao ambazo havijamua chochote? Alizitaka za nini? Chukulia hata CAG wa sasa aombe nyaraka za bandari hewa ya bagamoyo .Kichwani kwake zitakuwa zimo kweli?

Akinyimwa aseme Raisi anataka kunitoa.Huo utoto
 
Back
Top Bottom