Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Akapumzike nae akaleee wajukuu zake huko ,wacha kichele atulee reforms za maana kwanza
 
apo sheria inasema lazima aongezewe mda wa awamu ya pili neno shall kwenye sheria manake lazima ila ingekuwa may hapo manake ni optional
Kwa hiyo ikisema SHALL BE ELIGIBLE FOR RENEWAL...
maana yake nini...
Kwa lugha ya kawaida ni bado yuko eligible kuchaguliwa/ mkataba wake kuwa renewed BUT not necessarily has to be renewed...

Sijui inajua kuwa katib inasema pia kuwa..
Rais aliye madarakani na ni term yake ya kwanza SHALL BE ELIGIBLE FOR RE-ELECTION?
 
Ooh!sawa basi baba Musa.mpe salamu mama yake pia.
 
HATA ANGEJUA ANGESEMA NINI?!

Watu wajifunze kuachana na ajira, AJIRA SIO NDOA.
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake



Huyu mzee anazeeka vibaya
Huyu uvccm vipi mbona anaongea pumba Sana hapa au shoga unatafuta basha?
 
Haya maneno si ya kwako *sky
 
Mambo ya uchaguzi haya..isijekua maandalizo yanaanza ya matumizi...
 
Kama kweli anastaafu kesho kwa mujibu wa ajira yake ni sawa tu kufanya uteuzi kwa maana ya kwamba anaingia kazini baada ya kiapo pengine kesho au jumanne yenyewe. Nje ya hapo ni kutumbuliwa, ila kwangu mimi ataendelea kuwa CAG bora tangu kuwepo nafasi hiyo hapa nchini.
 
Ni ajabu bado kuna watu kama wewe bado mnazungumzia "kuvunjwa Katiba" kana kwamba ni jambo jipya!
Katiba? Hicho ndio kitu gani, si maandishi tu kwenye makaratasi?
 
Nimeelewa watanzania wengi ni wavivu Wa kufuatilia mambo.Swala LA CAG wengi hawalijui.swala lake liko kikatiba...
 
Wewe usie kiazi kule pale juu umesema kastaafu kwa mujibu wa sheria au mkataba umeisha kwa mujibu wa sheria?

Ni sababu nina maadili tu siwezi kukujibu hapa, ila amini kabisa nimekutukana kimoyo moyo nguruwe wewe
ha ha ha ha ha
 
Kambaku,
Ndio maana alipewa kipindi cha miaka 5,kama aliyemteua akipendezewa nae anaweza kumuongezea na kama hajapendezewa nae hata kama alikuwa na miaka 18 ataondolewa,Hakuna sehemu iliyosema ukomo wa CAG ni miaka 10 mfululizo,kama mnapenda sana Assad mchukueni na mkampikie chai .
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Mkuu, sheria gani hiyo, Prof Assad ana umri wa miaka 58, kwa hiyo kumstaafisha kabla ya kutimiza umri wa miaka 60 ni kuvuja sheria ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…