Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

Utakuwa una matatizo kichwani sio bure na bahat mbaya hujui kuwa unaugua.
Ni wapi CAG ametafuta huruma ya wananchi na wapi kajiona yeye ndio yeye?
Kaulizwa swali kajibu kutokana na taarifa iliyopo mtaani na yeye hajataarifiwa hilo.
Watu wa aina yako sio tu ni tatizo lakini ni hatar kwa ukuaji wa nchi hii, hamjui baya ni lipi zaid ya kufata upepo tu.
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
 
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!

Prof angetusaidia sana kama angeongezea kdg taarifa hapo kwenye safari ya kikazi ni wapi? Amekwenda kukagua ujenzi wa uwanja wa ndege kule naniiiiii nini wakaona wamuwahi abaki na report yake kama alivyofanyiwa Nepi?
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
uko sahihi 100%, ila huyu aliye teuliwa hatoshi icho kiti.tunamfahamu uwezo wake mdg maana kashapewa nyadhifa kubwa akashindwa mudu
 
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
Muda wake unaisha kesho rasmi, miaka 5. Ni suala la mkataba wake unatefushwa au laa. Na inavyoonekan haurefushwi.
 
Mr Yamoto hakuna Kifungu chochote cha Katiba kilichovunjwa. Ukikisoma hicho kifungu kinasema CAG atakaa kwa muda wa miaka mitano ambayo inaweza ikaongezwa mitano mingine. Yaani vipindi viwili. Prof. Assad aliteuliwa Novemba, 2014. Amekamilisha miaka mitano Novemba, 2019. Rais hajaamua kumuongezea miaka ile mitano mingine na halazimishwi kutoa sababu. Kavunja Katiba wapi?
 
October 3, 2019
- October 6 1961
Miaka 57 na siku 362

Huko kwenu huwa wanastaafu na miaka 58?

Darasa la tatu kwenda la nne mtihani wa hesabu ulipata ngapi?
Labda alidanganya mwaka aliozaliwa, maana wazee wengi miaka ya nyuma walikuwa wanarudisha nyuma mwaka aliozaliwa
 
Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi 😛rof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

No waaay! What! Like seriously? Kwamba CAG Profesa Musa Juma Assad ametumbuliwa na Rais Magufuli? sio kwamba muda wake kustaafu umefika? Kwamba yupo kwenye safari ya kikazi na Rais kamtumbua? Kama ndivyo ni mwendelezo wa kuvunja katiba, ibara ya 143 na 144. Ofcourse ana miaka 58!
😂😂 imenibidi nicheke tu. Like seriously?
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
Kweli wewe kiumbe umekaa kitejateja hata akili hazimo.. Unapost pumbapumba tu na uharo.. Sio ajabu ndivyo team za mafisi zilivyo na akili zenye funza ndio mnaopendwa na kichaa wenu mkuu
 
CAG ameongea kutafuta huruma ya Wananchi kama kawaida yake ili aonekane ameonewa
Mkataba wake wa ajira umeisha,wapo Watanzania Wengi wenye sifa za kushika hicho cheo,asije akajiona yeye ndio perfect peke yake

Huyu mzee anazeeka vibaya
Lakini aliye teuliwa hajateuliwa kwa weledi wa kazi bali kwa ushikaji na ufisadi
 
Muda wake unaisha kesho rasmi, miaka 5. Ni suala la mkataba wake unatefushwa au laa. Na inavyoonekan haurefushwi.
Hakuna anasema muda bado

Kuwa makini kuna siasa kwenye jambo hili tena siasa za kiccm
 
Back
Top Bottom