Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

CAG Assad aliondolewa kwenye nafasi hiyo kabla ya wakati. Inasemwa kwamba rais akishateua CAG hatakiwiki kumuingilia kwenye kazi zake wala kumtengua hadi atakapostaafu kwa taratibu za kiutumishi. Au wakati anaondolewa kazini hukuwa na smartphone?
 
Wewe Unafikiri Assad kaanza kumsema Magufuli baada ya Magufuli kumfukuza kwenye hiyo nafasi? Huyo jamaa toka alipoteuliwa kuwa CAG wakati huo Magufuli ni waziri tu.
 
Yeye amejibu alichoulizwa, hakuna mahali ameitisha mkutano akaanza kulilia huo uCAG.
 

KAMA ANADAI HAKI SI TARATIBU ZIPO SIYO MWANAUME KULIA LIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI. AJAZE FORM YA MADAI NA AANDIKE BARUA. LAKINI YEYE MIAKA 3 HII AMESHINDWA KWENDA MWONA SAMIA AKAMPATIA PESA ANAZO TAKA? AACHE UBWEGE. YEYE AKIWA ANALIA LIA NA NYIE WENGINE MFANYEJE SASA?
 
PROF ASSAD MPAKA LEO ANATESEKA SANA NA UCAG . MBONA WENZAKE WALISHANYAMAZA? INAONEKANA AMEATHIRIKA SANA KISAIKOLOJIA ZAIDI YA MIAKA 3 WIMBO NI ULE ULE. ALITAKA AWE CAG MILELE? INAONEKANA ANAPENDA SANA VYEO.
Ungemkataza Mwandishi wa habari asimwoji...au ulitaka asijibu swali aliloulizwa? Rais Mwinyi alikuwa anasimulia sababu iliyopelekea akajiuzulu akihojiwa na mtu mpaka siku mauti yanamkuta...hapo utasemaje?
 
Akaushe sasa, story ile ile miaka na miaka. Wangapi wametumbuliwa kwa taratibu na bila taratibu? Mwele Malecela? Si alienda kufanya kazi WHO baada ya kutumbuliwa.
Ameulizwa swali hukutaka ajibu? Au nongwa ya nini sasa.
 
Marehemu gan mkuu wakat alianza 2014???
 
Huyu mzee nae sasa apumzike kwa amani nchi ina vingi kwa sasa kuliko hicho cheo sio mali yake binafsi
 
Ungemkataza Mwandishi wa habari asimwoji...au ulitaka asijibu swali aliloulizwa? Rais Mwinyi alikuwa anasimulia sababu iliyopelekea akajiuzulu akihojiwa na mtu mpaka siku mauti yanamkuta...hapo utasemaje?

AAACHE KUTAFUTA HURUMA. AJIFUNZE KUACHANA NA MASWALI YA KIPUMBAVU.
 
Kwa hiyo mpaka leo anawazia UCAG?Hiyo ni kuchanganyikiwa kabisa. Alitaka awe CAG wa maisha?
Kwenye hiyo habari ndio ulichoambulia hicho?

Kuna mahali nimeona Tanzania inaongoza kwa Ujinga Afrika nzima.
 
I think atakuwa ni KAFIRI,na mara nyingi MAKAFIRI hususani hawa wanaoabudu kwa mwamposa and the likes chuki zao hazina kifani kwa waislam.
nadhan shida ipo mahali. assad kaulizwq swal ilikuwaje waje enz za u cag. historia hawez kusema aah unajua unajua
anatoa stori tu ilivokuwa, bado namsifu anatoa zandqn ndan kadiri muda unavoenda, nan anajua kuwa kumbe alijua siku moja kabla? akakuta gadi mlangoni? hebu tuache chuki za kidini. ooh nsssf ilikua udin usdin, na nakiri hakuna kipind nsf ilikua na maisha mazur.expensive life kama kipind cha dau.watu walikua wanaeaka waka hakiamungu. nakumbuka mshkaj wang mmoja alikua ndio kapata kaz enz hizo nssf yan bukoba ila ndege dar mara kwa mara.kanenepa ila sijui sasa kakukbwa na nin simskiii tena mwaka mpaka mwaka
 
Kiukweli ana nafasi ya kutoa mchango bado. Asiendelee kufikiria madaraka ambayo hana.
Atushauri na kutusaidia sasa ili tufike tunakokwenda.
Njia imejaa utelezi na miiba. Inazingua kweli kweli
 
CAG Assad aliondolewa kwenye nafasi hiyo kabla ya wakati. Inasemwa kwamba rais akishateua CAG hatakiwiki kumuingilia kwenye kazi zake wala kumtengua hadi atakapostaafu kwa taratibu za kiutumishi. Au wakati anaondolewa kazini hukuwa na smartphone?
Aliondolewa sasa, lia, utafanya nini juu ya hilo?
 
We mpuvavu haswa!
Huyu alikuwepo toka utawala wa JK Sasa Magu alimuita saa ngapi huyu mpenda cheo
 
Kwa nini alikubali kuondolewa bila kufuata sheria?

Naye ni wale wale mapim....biiize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…