Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Wewe Unafikiri Assad kaanza kumsema Magufuli baada ya Magufuli kumfukuza kwenye hiyo nafasi? Huyo jamaa toka alipoteuliwa kuwa CAG wakati huo Magufuli ni waziri tu.
Na ww ulikuwa hutaki Magufuli asemwe.
 
Jiwe alikuwa mpumbavu sana
Hakuwa mpumbavu Ila alikuwa hataki unafiki. Prof mzima anawaza UCAG. Vizazi vijavyo tuandae Ma Prof , wanaoweza kugenerate kazi nyingi.
 
Tofauti zao zinatokana na nini
 
Ripoti za cag zinasemaje kuhusu miradi ya NHC na nssf
 
Unaongea kweli au una dhania.
 

Muda wake wa utumishi haukumalizika. Kama hujui jambo, mkuu si vibaya kuuliza
 
Pimbi kweli wewe. Huoni huyo aliyejibiwa alipotosha kwamba Prof Assad alimaliza mkataba wake.
Lia tena mtoto mzuri, utafanya nini juu ya hilo? Aliliwa kichwa habari ikaisha, kamsaidie kulia na wewe
 
yaani huyu mzee, kumbe kulalamika kote huku alikuwa amebakisha siku moja tu kustaafu, kwahiyo malalamiko yake yoote ni hiyo siku moja. mbona anajiaibisha? au nini alikikosa kwa hiyo siku moja?
 
UNAONA SASA,KUMBE UNAZUNGUMZA KITU AMBACHO HATA HAUKIFAHAMU,

YEYE HAPO KAENDA KUFANYIWA MAHOJIANO NA KAULIZWA SWALI,HAJAANZA YEYE TUH FROM NOWHERE KUPAYUKA.

NA ALISHAFANYA UTARATIBU WA KUDAI HAKI ZAKE NA SHAURI LIPO MAHAKAMA YA RUFAA HIVI SASA,SOMETIMES ITS BETTER KUFICHA UJINGA WAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…