Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kabisa yaani, na hizi report zinachukuliwa poa sababu zinaibua sana madudu yao.
Sasa kuna haja gani ya kuwa na CAG?
Ni takwa kisheria km enzi za mzee yeye si hana kona kona moja ya tukio lilompunguza credibility kwenye uongozi wake mojanyabishu niliyoona si kila anayesimama na kusema anajiskia uchungu na hii nchi naonaga wote waongo tu.
 
Kwani Ndugai aliondoshwa vipi ofisini? Hizi serikali zetu, ukienda kinyume na mhimili uliojichimbia chini zaidi lazima uumie, iwe unafuata haki au umezingua....
Au mnadhani Lowasa alikuwa na makosa kuliko Kikwete, anatafutwa scapegoat mambo yanaisha.
Ndugai aliondoshwa au alitema bungo mwenyewe kwa kujiuzulu??ndugai alilikoroga mwenyewe chama kikambana kaona mazingira magumu hatoboi akatema bungo,wapi samia alimwambia direct ndugai aachie ngazi??
 
Ndugai aliondoshwa au alitema bungo mwenyewe kwa kujiuzulu??ndugai alilikoroga mwenyewe chama kikambana kaona mazingira magumu hatoboi akatema bungo,wapi samia alimwambia direct ndugai aachie ngazi??
Wewe ni kiazi, unadhani aliachia kwa matakwa yake eeh?
 
Hao wawili walikuwa na tofauti zao toka zamani, Assad alikuwa anatumia hiyo nafasi yake kama silaha ya mashambulizi na ndio maana ilimuuma sana mwenzake alipommaliza kwa kumtoa kwenye hiyo nafasi.
Kama silaha ya mashambulizi kivipi??ulitaka ile 1.5Trillin yeye kama CAG akaushe asiseme kuwa haijulikani ilipo??

Ulitaka yeye kama CAG akaushe asiseme kuwa kuna weakness kwa bunge katika kuzichukulia hatua taarifa za wizi ambazo CAG anazibaini??
 
Ndugai aliondoshwa au alitema bungo mwenyewe kwa kujiuzulu??ndugai alilikoroga mwenyewe chama kikambana kaona mazingira magumu hatoboi akatema bungo,wapi samia alimwambia direct ndugai aachie ngazi??
Sasa angemwambia wazi aachie ngazi kwa utaratibu upi au sheria ipi?
 
Huyu kichaa Bado tu anaumia kutumbuliwa nafasi yake?kwani alizaliwa kuwa CAG milele?kweli tuna mapropesa njaa
hiv kwa kumskiliza tu unaona ana njaa kama wewe au ukichaaa kama wewe. kaulizwa swal kuhusiana na alivyokuwa na nafas hio nai likuwaje, sasa tulitaka atoe historia ya uongo.si ni just anasema tu ilivyokuwa.mbona makasiriko ndugu? au una chuki uliyificha ambayo unashindwa kuiweka waz
 
Wewe ni kiazi, unadhani aliachia kwa matakwa yake eeh?
Kiazi ni wewe,tena wewe ni NGUCHIRO..hoja ni kwamba ndugai alizingua mwenyewe kuingia kwenye battle na muhimili mwingine wa dola ambao anajua fika kiongozi wa mhimili huo ni mwenyekiti wake wa chama.

Baada ya kuzungumza alichozungumza uliona kilichofuata??ni chama kilianza kumweka kwenye angle hadi akaamua ateme bungo kwa kujiondoa mwenyewe,kuna mahala Samia alimtamkia hadharani kuwa aondoke??

Sasa utamweka wapi samia kwenye angle ya kuvunja katiba??tofaut na CAG yeye aliondolewa kabla ya muda wake kikatiba kuondolewa.
 
hiv kwa kumskiliza tu unaona ana njaa kama wewe au ukichaaa kama wewe. kaulizwa swal kuhusiana na alivyokuwa na nafas hio nai likuwaje, sasa tulitaka atoe historia ya uongo.si ni just anasema tu ilivyokuwa.mbona makasiriko ndugu? au una chuki uliyificha ambayo unashindwa kuiweka waz
I think atakuwa ni KAFIRI,na mara nyingi MAKAFIRI hususani hawa wanaoabudu kwa mwamposa and the likes chuki zao hazina kifani kwa waislam.
 
Unajuaje kama ni msenge??au basi labda wewe ni mtu unaefanyiwa michezo hiyo pia...

Kama huna njaa na unajitambua siku zote watu wapumbavu kama wewe watakuona una ego na kujiskia tuh
Wewe ndio Assad nini? Kama ni wewe basi jua we ni msenge sana
 
Sasa angemwambia wazi aachie ngazi kwa utaratibu upi au sheria ipi?
Sasa hivyo ndivyo karata zinavyotakiwa kuchezwa...unatengenezewa mazingira unatema bungo mwenyewe.

Assad walichemsha kumtengenezea mazingira ya kumfanya ateme bungo mwenyewe kwa hiyari,matokeo yake wamemtoa kwa nguvu huku katiba ikiwaweka kifungoni.

CASE IKO MAHAKAMA YA RUFAA HADI SASA.
 
Kiazi ni wewe,tena wewe ni NGUCHIRO..hoja ni kwamba ndugai alizingua mwenyewe kuingia kwenye battle na muhimili mwingine wa dola ambao anajua fika kiongozi wa mhimili huo ni mwenyekiti wake wa chama.

Baada ya kuzungumza alichozungumza uliona kilichofuata??ni chama kilianza kumweka kwenye angle hadi akaamua ateme bungo kwa kujiondoa mwenyewe,kuna mahala Samia alimtamkia hadharani kuwa aondoke??

Sasa utamweka wapi samia kwenye angle ya kuvunja katiba??tofaut na CAG yeye aliondolewa kabla ya muda wake kikatiba kuondolewa.
Ndezi usiye na akili wewe.
 
Mzee wa maana sana,nakumbuka kauli yake alisema,

"We need to format and not to delete the system of the Government"
 
Wewe ndio Assad nini? Kama ni wewe basi jua we ni msenge sana
Utajuaje kuwa mimi ni Msenge kama sijakubandua??

Unausifia sana usenge bila shaka wewe mwenyewe ni CHOKO na umeshaaga mashindano kitambo sana.

Town hapa machoko mko wengi sana,mbaya zaidi mmekuwa wababe mnatafuta mabwana kwa nguvu sana...
 
Kama silaha ya mashambulizi kivipi??ulitaka ile 1.5Trillin yeye kama CAG akaushe asiseme kuwa haijulikani ilipo??

Ulitaka yeye kama CAG akaushe asiseme kuwa kuna weakness kwa bunge katika kuzichukulia hatua taarifa za wizi ambazo CAG anazibaini??
Ugomvi wa Magufuli na Assad ni wa muda mrefu, bahati mbaya tu mwenzie ghafla kawa mkuu wa nchi.

Hata mimi mwanzo niliona Magufuli kakosea sana kumtoa Assad ila kadri sasa navyoona kinyongo na kiburi cha Assad ni wazi kulikuwa na shida.
 
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo.

“Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena basi nikampa funguo yule dereva wangu yeye akarudi Dodoma mimi nikapanda ndege kurudi Dar” Prof Mussa Assad CAG wa zamani.

Lakini pia siku naenda ofisi ambapo nilikuwa bado ni CAG kwa sababu nilikuwa naondosha tarehe nne lakini nakutana na vijana Ofisi kwangu, vijana wananiambia Profesa huko juu kuna watu na tunahisi hautoweza kuingia ofisi kwako. Ni kawambia no hakuna mtu anaweza kuniingilia leo tarehe 3 nataka kuangalia ofisi yangu kuclose mafails ili kesho niondoe vitu vyangu.

Nikapanda juu gholofa ya 3 naona vijana wawili kwenye mlango wamekaa nikawafuata, jamani vipi haa Profesa sisi tumetumwa tukae hapa na wewe leo usiingie ofisini kwako. Nikasema nani amewatuma? wakajibu sisi tumetumwa na viongozi wetu. Nikauliza hivi kiongozi wako anajuwa leo tarehe 3? Akajibu anajuwa lakini sisi tumeambiwa tukae hapa tusiondoke.

Basi mimi nikawaambia napiga simu sahivi nikashuka chini gholofa ya pili kijana mmoja naye akashuka eh Profesa wewe njoo kesho asubhi hapa utaingia mimi nikamwambia nataka kuingia leo nikampigia simu Chief secretary. Lakini si kutaka kurudi tena juu nikaamua kuondoka zangu kurudi nyumbani kwangu.

Prof Mussa Assad aliteuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 05, mwezi Novemba 2014 na kuhudumu katika nafasi hii mpaka tarehe 04, Novemba 2019 ambapo muda wake wa utumishi ulimalizika.

Soma Pia:
Prof Mussa Assad alifanya kazi kwenye awamu ya nne ya Urais ambaye Rais alikuwa Jakaya Kikwete na awamu ya tano Rais alikuwa Hayati Joseph Magufuli.

Duh hatari.
 
Ndezi usiye na akili wewe.
Usie na akili ni wewe nguchiro,unandia vitu hata haujui msingi wake ni upi,watoto mmekuwa wengi sana now days JF,

Hapo umeshashiba kande kwa shemeji yako aliemweka ndani dada yako unakuja kutukana huku JF.
 
Aliyedandia post ya mwenzake nani we kiazi? Tatizo la kusifu na kuabudu huna hoja zaidi ya hizo.
 
Ugomvi wa Magufuli na Assad ni wa muda mrefu, bahati mbaya tu mwenzie ghafla kawa mkuu wa nchi.

Hata mimi mwanzo niliona Magufuli kakosea sana kumtoa Assad ila kadri sasa navyoona kinyongo na kiburi cha Assad ni wazi kulikuwa na shida.
Shida ipi??

CAG Assad aliteuliwa na Jk,na so far alikuwa anafanya kazi yake vizuri tuh

Na ASSAD yeye alikuwa ni mwalimu tuh pale chuo kikuu,ugomvi na magufuli utokee wapi??

Au may be magufuli alikuwa hampendi ASSAD kama vile ambavyo alikuwa hampendi DAU kwa kuwa anajua ni waislam safi wanaojitambua??basi may be ni chuki za udini tuh...

Nikuulize wewe katika utendajii wake wa kazi ASSAD alikosea nini hadi magufuli awe na chuki nae kiasi hiko??
 
Sasa hivyo ndivyo karata zinavyotakiwa kuchezwa...unatengenezewa mazingira unatema bungo mwenyewe.

Assad walichemsha kumtengenezea mazingira ya kumfanya ateme bungo mwenyewe kwa hiyari,matokeo yake wamemtoa kwa nguvu huku katiba ikiwaweka kifungoni.

CASE IKO MAHAKAMA YA RUFAA HADI SASA.
Point ya msingi ni kuwekwa tu pembeni, suala la Ndugai kila mtu anajua kama kujiuzulu kwake ni shinikizo kutoka juu hakuna mazingira yeyote yaliyotengenezwa pale.
 
Back
Top Bottom