TANZIA Prof. Mwesiga Baregu afariki dunia

Huwa siwaongelei marehemu kwa ubaya, sio kwasababu tuu ya imani yangu kwa mtu ila sababu sijui hata pale ambapo Mungu aliwachukua walikuwa kwenye hali gani kiroho
Mengine ngumu kutosemeka..usuposema uzeen utakuwa mchawi
 
Vipi corola limited au?

R.I.P profesa
 
Kwa kweli ya dunia ni mengi ila kifo ni kigumu sana kukizoea. RIP Prof.
 
Pumzika kwa amani mzee mwenzangu, Nitaukumbuka mchango wako katika kusimamia na kukuza demokrasia ndani ya nchi yetu. Hakika chama chetu kimepoteza mtaalamu mashuhuri wa sayansi ya siasa.
 
A life well lived.
May the professor's soul be granted peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…