Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Rudia kuisoma kwa umakini utaelewa tu.
Baadhi ya walimu wengi wakike ni matatizo tu huko mashuleni hasa wake wa viongozi.

Unakuta wamekalia majungu na vikundi vya umbeya.
Sasa na wewe unajiita mchangiaji kwenye hoja iliyomezani kweli. Kwani ukikaa kimya utalizwa?
 
Hapo Tamisemi ndio inahusika na si Ndalichako.

Hao Maafisa Elimu wanapatikanaje? Huku kwetu Singida kuna wilaya moja mwanadada naye ni shida tupu!
Hujakutana na Afisa Elimu secondary Mkoa wa Kilimanjaro wewe.
 
Hana sifa ni sifa zipi za kuwa Afisa Elimu hana degree? wewe utakuwa ni mwl lakini unataka kuwa Afisa Elimu
rudia kusoma kwa umakini takataka yako uliyoiandika.
Unaelewa maana ya uchunguzi?
 
Polesa sana Afisaelimu. Hapa dawa ni kujirekebisha tu. Pia acha kunyanyasa watumishi walio chini yako.
 
rudia kusoma kwa umakini takataka yako uliyoiandika.

Unaelewa maana ya uchunguzi?
Hahahahahaha ngoja nikusaidie.

Hasira, jazba, matusi havitakusaidia.

Tuliza kichwa jenga Hoja.
Wasilisha eneo husika ili uchunguzi ufanyike.
Na kama unaamini uchunguzi inafanyika kwa merely words bila Hoja za msingi utaendelea tu kugandamiza vidple vyako kwenye simu yako ya thamani bila kufanikisha lengo lako.

Jenga Hoja.
Jenga Hoja.
Jenga Hoja

Sawa?
 

Ahsante sana bro Kwa Maneno kuntu.
 

Tulia wewe.
 
Njoo Chamwino au tuma mtu aje huku uone mama wa watu alivyo mpole na mstarabu

Utapoteza hata huo Ualimu acha kutetea Maovu Dada angu.
Unatafuta pakuegemea nini kuwa ulimtetea humu.
Angalia Nchi ina watu wengine sasa unaeza poteza hata huo ualimu kisa kutetea Maovu.
 
Ndalichako mwenyewe hana sifa ya kuwa waziri wa elimu kizungu chenyewe hajui mbaguzi sana
 
Kuna chawa hapa naona anajitahidi kumtetea huyo mama mara jenga hoja ,sijui bla bla kibao.

Kama mleta hoja hajaeleweka kwenye uzi wake Ni kipi kimewaleta kuja kumsafisha huyo mama?

Mleta mada hajaeleweka ajab watu wanakimbilia mbele mara leta hoja ,Sasa hoja za nn Kama jamaa hajaeleweka? Kwa lugha nyepesi mleta mada kaeleweka na kaorodhesha umafia wa huyo mama ndio maana baadhi mmekuja kumsafisha hapa kwa namna yoyote ile.

Niwakumbushe tu mnaomsafisha hapa huyo mama huu uzi utaishi milele yote na utakuja kuwahukumu Sana Ni bahat mbaya watu tunatumia I'd fake maana tungefahamina live ingekuja kuwa aibu ya mwaka.

Vinywa vya watu Ni simu hatar Sana na ogopa Sana binadam wenzio wakianza kukunyoshea vidole ,kitendo Cha yeye kukaa hapa jamii forum kusemwa kwa ubaya na uovu hi itamhukum Sana huyo mama ,Sasa Kaz Ni kwake abadirike au aendelee kuvimba huko ofisini ila tayal fail lake lipo mitandaon na litaish muda wote pengine amwombe mleta mada awasiline na mods wafute huu uzi tofaut na hapo huyo mama ana Kaz Sana na uzi unatembea tu siku had siku.
 
Hiyo barua mwandikie Waziri wa TAMISEMI, Mh. Jafo kwani Ndalichako hahusiki na uteuzi wa Maafisa Elimu!
 
Huyo mama anaumbwa wake maeneo mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…