Nimeona sehemu ameomba mod abadilisheMtoa post hili halimhusu Ndalichako maana uteuzi wa viongozi hawa unafanywa na TAMISEMI .Hao ndo wahusika waje hapa wakujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona sehemu ameomba mod abadilisheMtoa post hili halimhusu Ndalichako maana uteuzi wa viongozi hawa unafanywa na TAMISEMI .Hao ndo wahusika waje hapa wakujibu
Alipofanikiwa kupanchi uhamisho wa chemba amekuwa mbogo mala miaSaivi lazima awe mpole na mstaarabu baada ya huu Uzi hapa
Ila ashawekwa kwenye rekodi hapa JF tutarejea siku za usoni
Akiwa mbogo wewe kuwa Simba ,yan ubabe ubabe.Alipofanikiwa kupanchi uhamisho wa chemba amekuwa mbogo mala mia
Binafsi nawashauri wakusanye ushahidi wamburuze mahakamani kama kishegwe na sio afisa elimu maana anatumia ofisi ya umma kwa maswala yake binafsiAkiwa mbogo wewe kuwa Simba ,yan ubabe ubabe.
Nilishasema sipendag dharau maishan I mwangu ,huyo mmama anavyozungumzwa hapa inaonekana waz watu mmemshindwa kabisa ,Ila ningekua huko aliko au ofisi moja ,nahisi saiz ningekua uraian kufanya mishe zingine baada ya kumjibu kunya na kumyea haswa na kipigo juu.
Yule Prof. wa miti pale UDOM Ndio danga lake?Ni kweli alihamishiwa chemba 2021 akapiga madili akabaki mpaka leo ofisini kwani alituaga kabisa na Mimi nilisepa mwaka huo nafikiri yule bwana ake meya wa DODOMA mjini anamkono wake na kwa tetesi ule uhamisho ilikuwa wa adhabu
Hakika danga lakeYule Prof. wa miti pale UDOM Ndio danga lake?
Hayo mapungufu ya bosi wako ni adhabu kwa watumishi wengine sema ukweli tu unafaidika na asali yakeMwacheni boss wangu apige kazi mbona yuko poa tu Hana shida na mtu
Mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo kila kiumbe anayo
Tumwombeee badala ya kumsema Mungu wetu ni mwema
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Yupo pale kwa mambo mawili uchawi na kubebwa na wanasiasa.Aiseeee afisa elimu uchwara , hana maadili ( ethics ) hafai kuongoza sijui anafanya nini hapo ofisini .
Bosi wako anapaswa kuiga mfano wa uongozi namna anavyo ongoza rais Samia suluhu hasani ni mwanamke lakini anatumia hekima na busara kubwa kwenye uongozi huyo mbuzi wako anatumia mabavu kama hiyo nafasi kapewa na baby yake.Mwacheni boss wangu apige kazi mbona yuko poa tu Hana shida na mtu
Mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo kila kiumbe anayo
Tumwombeee badala ya kumsema Mungu wetu ni mwema
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Hayo ni mabaki ya magu mkuu ni danga la meya wa Dom.Bosi wako anapaswa kuiga mfano wa uongozi namna anavyo ongoza rais Samia suluhu hasani ni mwanamke lakini anatumia hekima na busara kubwa kwenye uongozi huyo mbuzi wako anatumia mabavu kama hiyo nafasi kapewa na baby yake.
Mala nyingi watu kama wewe unakuta ni wanafiki ambao wanapelekaga maneno kwa boss ili wapendwe, nimekusoma haraka sanaMwacheni boss wangu apige kazi mbona yuko poa tu Hana shida na mtu
Mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo kila kiumbe anayo
Tumwombeee badala ya kumsema Mungu wetu ni mwema
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu huyu mama anamawachawa wake mmojawapo anaitwa lotto mkuda Sana.Mala nyingi watu kama wewe unakuta ni wanafiki ambao wanapelekaga maneno kwa boss ili wapendwe, nimekusoma haraka sana
Huku kwetu kigoma Kuna dawa yao watu kama hao ndani ya wiki manaenda kula ubwabwa na maharage kwake hata hao wanaompa jeuri nao mnashiriki nao kula ubwabwa na maharage,pm niwawape mbinu za polini.Dawa yao hao ni kuwapa demotion wakawe Walimu wa kawaida ili nao waonje joto la kuwa chini na kufokewa fokewa.