Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

Una kichwa kigumu
Naelewa kuwa nina kichwa kigumu..
Ila zaidi sijaelewa mantiki ya hoja Yako Baada ya kutoa hoja Yangu..
Maana Tafsiri ya hoja Huwa anayomtoa hoja Nisije nikafikiri tofautina na Hoja yako (Maana huwa naogopa kufikiri Nje ya Mtoa hoja na ukizingatia kama ulivyosema nna kichwa kigumu)
 
Umeandika Kama umebunda ubuyu kinywani,andika vizuri
 
Miongoni mwa hao wapalestina wanaopigwa wamo miongoni mwao ni kizazi cha Yakobo. Shida yao ni waliamua kufuata Uislamu na tamaduni za kiarabu tu baasi.

Pia kuna Wayahudi wa Arabia ikiwemo Yemeni, Iraki na kule Uajemi (Irani). Kuna wengine wako Afrika (Lemba) people, Wengine wako Afghanistan huko (hawa wataleban unaowaona, Pashtun people, inasemwa kuwa kuna kizazi cha Yusufu mle), n.k
Nadhani una zungunzia vipimo vya DNA ambavyo vinathibitisha watu wenye ukaribu au wanadamu ya kiyahudi ya bronze Age.
Wasamaria wa Sasa ndio wameonyesha kuwa na kiwango Cha karibu Cha genetic na ndio wayahudi Halisi na wengine wenye damu hiyo duniani.
Screenshot_2023-11-12-12-01-53-968_com.twitter.android.jpg
 
Ok sawa Nimeamua kukupuuza Huenda akili umeazimisha..
Na huenda kichwani umepangisha pia!
Bhasi nakushauri chukua Kodi ya hicho kichwa maana uliowapangisha Hawana faida...
Kiswahili chenyewe hukijui,kufikiri shida,basi shaghalabaghala tu
 
Kwa ufahamu tu ni kuwa Kingdom ya Khazaria ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ilitokea kuwa Mfalme wa nchi hiyo akaamua kuchagua dini, basi akachagua Uyahudi, basi watu wake nao wakabadili dini na kuingia uyahudini.
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
 
Source: trust me bro
 
Source: trust me bro
Dini ya kiyahudi toka miaka hiyo hadi leo hairuhusu mtu.kubadili dini toka dini yeyote kuingia dini ya kiyahudi hilo halijawahi kuwepo na halipo hadi leo

Kigezo cha kuwa dini ya kiyahudi lazima mzazi awe myahudi awe baba au mama

Mfano kuna wale wa dini ya kiyahudi waafrika wa Ethiopia wao wanatambuliwa kama dini ya kiyahudi sababu ni kizazi cha myahudi mfalme Suleiman ambaye alizaa na Malkia wa Ethiopia ajulikanaye kama Malkia wa Sheba.Toka kuzaliwa kwao wakawa sehemu ya dini ya kiyahudi hadi leo.
Hicho huyo proffesa anachoongeza cha kubadili dini muongo hakuna kitu kama hicho kwenye dini ya kiyahudi

Hawanpokei mbadili dini hata siku moja

Imani yao ni kama wahindu huwezi kuwa mhindu bila kuwa mhindi mwenye wazazi wahindi
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim

Mke wa Yusufu yule Mmisri watoto wake ni Wayahudi au la?

Yule Ruth wa kwenye bible, ilikuwajekuwaje akageuka na kuwa Myahudi?

Wayahudi wa kiethiopia, waligeukaje na kuwa Wayahudi wakati mwanamama wanayesema wanatokana naye hakuwa Myahudi?
 
Wako wengi umesahau Rahabu yule kahaba ambaye aliolewa ukoo wa kifalme nk wako wengi

Ni hivi myahudi aweza zaa hata na mpagani

Mzazi aliyezaa mtoto hawi dini ya kiyahudi au kuitwa myahudi anabaki na kabila yake ila atabaki tu kutambuliwa raia wa Israel akitaka na kukubaliwa lakini watoto wanaruhusiwa kuwa dini ya kiyahudi na kuwa na uraia wa Israel automatically

Hao hawakugeuka kuwa wayahudi ila uzao wao ni wayahudi mia kwa mia na dini ya kiyahudi mia kwa mia sababu kuna mzazi mmoja myahudi

Hata wewe ukizaa na myahudi mtoto atakuwa myahudi na dini ya kiyahudi wewe huruhusiwi utabaki na uzaramo au undengereko wako na dini yako hawakuhitaji
 
Mfano Mngoni unawezaje kumwambia Eti yeye sio mtanzania kwa sababu Tu asili yake ni South Africa...
Mmasai unawezaje leo kumwambia Sio Mtanzania Au mkeny eti kisa tu Asili yake ni Ethiopia..
Kuna vitu huwa vinafikirisha Sana unajiuliza hivi huyu Phd aliipataje
Nakupa mfano mdogo, wamatumbi kiasili pale kilwa sio asili yao kabisa ila kilichotokea ni migration tu, Refer Ngoni Migration kwenye history(mfano ambao bila shaka utakua unaufaham) Tunaangalia descendants of generation na sio kwa mfano wa namna yako, we Udaktar umeupate?
 
Wako wengi umesahau Rahabu yule kahaba ambaye aliolewa ukoo wa kifalme nk wako wengi

Ni hivi myahudi aweza zaa hata na mpagani

Mzazi aliyezaa mtoto hawi dini ya kiyahudi au kuitwa myahudi anabaki na kabila yake ila atabaki tu kutambuliwa ks raia wa Israel akitaka na kukubaliwa lakini watoto wanaruhusiwa kuwa dini ya kiyahudi na kuwa na uraia wa Israel automatically

Hao hawakugeuka kuwa wayahudi ila uzao wao ni wayahudi mia kwa mia na dini ya kiyahudi mia kwa mia sababu kuna mzazi mmoja myahudi

Hata wewe ukizaa na myahudi mtoto atakuwa myahudi na dini ya kiyahudi wewe huruhusiwi utabaki na uzaramo au undengereko wako na dini yako hawakuhitaji

Sasa swali langu kwako ni je, Watoto wa Yusufu aliozaa na mmisri akiwemo Epfraimu ni Wayahudi au siyo wayahudi?
 
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga

Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi

Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya

Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini

Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali

Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi

Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk

Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao

Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden

Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Kama jambo hulijui kaa kimya kwa busara. Uyahudi ni dini kama ilivyo Uislamu na Ukristi na mtu wa race yoyote anaruhusiwa kuongoka kuwa Myahudi.
 
Uongo tena uliokubuhu dini ya kiyahudi tofauti kabisa na Ukristo na Uislamu haihitaji cha kuongoka wala nini kuwa muumini wa dini ya kiyahudi

Halipo hilo
 
Back
Top Bottom