inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Una kichwa kigumuSijajua mantiki ya Swali lako?
Pengine ungenielewesha kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kichwa kigumuSijajua mantiki ya Swali lako?
Pengine ungenielewesha kwanza
Prof ameumiza hisia zako.Mawazo ya Professor wq lugha hayana uzito kwenye mambo ya historia
Naelewa kuwa nina kichwa kigumu..Una kichwa kigumu
Umeandika Kama umebunda ubuyu kinywani,andika vizuriNaelewa kuwa nina kichwa kigumu..
Ila zaidi sijaelewa mantiki ya hoja Yako Baada ya kutoa hoja Yangu..
Maana Tafsiri ya hoja Huwa anayomtoa hoja Nisije nikafikiri tofautina na Hoja yako (Maana huwa naogopa kufikiri Nje ya Mtoa hoja na ukizingatia kama ulivyosema nna kichwa kigumu)
Ok sawa Nimeamua kukupuuza Huenda akili umeazimisha..Umeandika Kama umebunda ubuyu kinywani,andika vizuri
Nadhani una zungunzia vipimo vya DNA ambavyo vinathibitisha watu wenye ukaribu au wanadamu ya kiyahudi ya bronze Age.Miongoni mwa hao wapalestina wanaopigwa wamo miongoni mwao ni kizazi cha Yakobo. Shida yao ni waliamua kufuata Uislamu na tamaduni za kiarabu tu baasi.
Pia kuna Wayahudi wa Arabia ikiwemo Yemeni, Iraki na kule Uajemi (Irani). Kuna wengine wako Afrika (Lemba) people, Wengine wako Afghanistan huko (hawa wataleban unaowaona, Pashtun people, inasemwa kuwa kuna kizazi cha Yusufu mle), n.k
Kiswahili chenyewe hukijui,kufikiri shida,basi shaghalabaghala tuOk sawa Nimeamua kukupuuza Huenda akili umeazimisha..
Na huenda kichwani umepangisha pia!
Bhasi nakushauri chukua Kodi ya hicho kichwa maana uliowapangisha Hawana faida...
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chengaKwa ufahamu tu ni kuwa Kingdom ya Khazaria ilikuwepo zaidi ya miaka 1000 iliyopita, ilitokea kuwa Mfalme wa nchi hiyo akaamua kuchagua dini, basi akachagua Uyahudi, basi watu wake nao wakabadili dini na kuingia uyahudini.
Source: trust me broHapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga
Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi
Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya
Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini
Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali
Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi
Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk
Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao
Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden
Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Dini ya kiyahudi toka miaka hiyo hadi leo hairuhusu mtu.kubadili dini toka dini yeyote kuingia dini ya kiyahudi hilo halijawahi kuwepo na halipo hadi leoSource: trust me bro
Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga
Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi
Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya
Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini
Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali
Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi
Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk
Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao
Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden
Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Wako wengi umesahau Rahabu yule kahaba ambaye aliolewa ukoo wa kifalme nk wako wengiMke wa Yusufu yule Mmisri watoto wake ni Wayahudi au la?
Yule Ruth wa kwenye bible, ilikuwajekuwaje akageuka na kuwa Myahudi?
Wayahudi wa kiethiopia, waligeukaje na kuwa Wayahudi wakati mwanamama wanayesema wanatokana naye hakuwa Myahudi?
Nakupa mfano mdogo, wamatumbi kiasili pale kilwa sio asili yao kabisa ila kilichotokea ni migration tu, Refer Ngoni Migration kwenye history(mfano ambao bila shaka utakua unaufaham) Tunaangalia descendants of generation na sio kwa mfano wa namna yako, we Udaktar umeupate?Mfano Mngoni unawezaje kumwambia Eti yeye sio mtanzania kwa sababu Tu asili yake ni South Africa...
Mmasai unawezaje leo kumwambia Sio Mtanzania Au mkeny eti kisa tu Asili yake ni Ethiopia..
Kuna vitu huwa vinafikirisha Sana unajiuliza hivi huyu Phd aliipataje
Nilijua niko peke yangu wa kumswalika swali hilo.sasa atuambie wayahudi halisi wajukuu wa yakobo wako wapi kwa sasa, na je wale wapalestina nao asili yao ni wapi
Wewe asili yako ni ipi? Tujibu tuone kama jibu utalielewasasa atuambie wayahudi halisi wajukuu wa yakobo wako wapi kwa sasa, na je wale wapalestina nao asili yao ni wapi
Wako wengi umesahau Rahabu yule kahaba ambaye aliolewa ukoo wa kifalme nk wako wengi
Ni hivi myahudi aweza zaa hata na mpagani
Mzazi aliyezaa mtoto hawi dini ya kiyahudi au kuitwa myahudi anabaki na kabila yake ila atabaki tu kutambuliwa ks raia wa Israel akitaka na kukubaliwa lakini watoto wanaruhusiwa kuwa dini ya kiyahudi na kuwa na uraia wa Israel automatically
Hao hawakugeuka kuwa wayahudi ila uzao wao ni wayahudi mia kwa mia na dini ya kiyahudi mia kwa mia sababu kuna mzazi mmoja myahudi
Hata wewe ukizaa na myahudi mtoto atakuwa myahudi na dini ya kiyahudi wewe huruhusiwi utabaki na uzaramo au undengereko wako na dini yako hawakuhitaji
Kama jambo hulijui kaa kimya kwa busara. Uyahudi ni dini kama ilivyo Uislamu na Ukristi na mtu wa race yoyote anaruhusiwa kuongoka kuwa Myahudi.Hapa pa kubadili dini ndipo uongo wake unaonekana wazi wazi bila chenga
Dini ya kiyahudi hairuhusu mtu ambaye hakuzaliwa na mzazi myahudi kuingia dini ya kiyahudi
Wao hawahitaji mtu yeyote abadili dini aingie dini ya kiyahudi hilo halipo na wala hawatangazi dini yao kutafuta waumini kama Ukristo na uislamu unavyofanya
Wao kuwa dini ya kiyahudi lazima kixazi kiwe cha myahudi sio kubadili dini
Mimi mfano ni Mkristo leo hata nikitaka nibadili dini pamoja na mapenzi yangu yote kwa wayahudi hawatakubali
Ndio maana katika dini ambazo hazina ugomvi na dini yeyote duniani ni dini ya kiyahudi
Ila dini zingine kama baadhi ya matawi uislamu ndio wana ugomvi na dini zingine ikiwemo Ukristo ,uhindu,upagani na uyahudi nk
Mtu kwao asiye muislamu hujisikia.kukereka na kumuona asiye muislamu kama takataka fulani hivi.Dini ya kiyahudi wala wewe kaa na dini.lako wala hawakuhitaji ujiunge dini yao
Huyo Profesa muongo wa kutupwa na midevu yake kama ya Osama Bin Laden
Wayahudi waliopo pale Israel ni kizazi halisincha wazazi wayahudi kutokea Ibrahim
Uongo tena uliokubuhu dini ya kiyahudi tofauti kabisa na Ukristo na Uislamu haihitaji cha kuongoka wala nini kuwa muumini wa dini ya kiyahudiKama jambo hulijui kaa kimya kwa busara. Uyahudi ni dini kama ilivyo Uislamu na Ukristi na mtu wa race yoyote anaruhusiwa kuongoka kuwa Myahudi.
Kama jambo hulijui kaa kimya kwa busara. Uyahudi ni dini kama ilivyo Uislamu na Ukristi na mtu wa race yoyote anaruhusiwa kuongoka kuwa Myahudi.