Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

Ila jua Uyahud Kam dini ilikuwa inaruhusu watu kuingia ikiwa wanafuata masharti Kam kutahiriwa,na ndio maana kulikuwa na waumin wa kiyahud huku Africa na sehem nyingine Kam vile wayahudi wa kiyunani
Xawa boss umeshinda,
 
Dah huyu Chomsky tumemsoma sana vyuoni, hata wale wataalamu wa computer kwenye mambo ya "Compiler" wanamjua na theory zake za linguistics, Theory yake hiyo ndo inatumika kutengeneza compiler zinazorun computer languages kama vile C na C++
Mkuu kwa sisi tuliosoma Linguistics Noam Chomsky ni jina maarufu kuliko majina yote, nikisikia jina Chomsky ni km wana ccm wakisikia jina Mama Samia...
 
Sio kweli Gerald Pique ni.mkatoliki na hajawahi badili dini kilichowachanganya wengi wakahisi dini ya kiyahudi ni pale alipoenda Israel na kuvaa kiyahudi na kusali kiyahudi kwenye ukuta ule wa maombi wa wailing Wall

Kifupi mtu yeyote mfano wakristo wote wanaoenda kupeleka maombi yao kule wakienda kuhiji huvaa kiyahudi na kusali still ya dini ya kiyahudi lakini ukishaondoka unaendelea na dini yako

Pia kuna nchi nyingi wana watu wanasali sala zote za dini ya kiyahudi na kushika mila zote za kiyahudi lakini wayahudi hawawatambui hizo dini kama sehemu ya dini ya kiyahudi
Africa ilikuwa Ina wayahud weng tu, walikuwa wameingua ktka fin ya uyahud kwa kufata taratibu za din ya kiyahud Kam vile kutahiriwa,,na n Waz wengi kutoka sehemu mbalimbal walienda kuhij Yerusalemu kwa kipind hicho
 
Alafu nadhan watu hawawez tofautisha kat ya waesrael na wayahud,mtu aweza kuwa myahud na asiwe muisrael,wayahud(wafuasi wa Yuda,hapa n Yuda makabayo),Yuda makabayo mwana matathias n mtu aliyepambana kurejesha Iman ya awali ya Wana wa Israel ambayo ilikuwa imeharibiwa na tamadun za kiyunani,kweny kupambana kwake Yuda makabayo akifanikiwa rudisha kuabudiwa kwa MUNGU wa Israel,na hivyo ndio kuibuka kwa Judaism Kam vuguvugu la kurejesha ile Iman ya mababu zao.so Judaism inahusisha followers of Juda Kam vile Christianity inavyohusisha followers of Christ
 
Back
Top Bottom