Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”



hyo NA ndo imeleta ukakasi
 
Tanzania gazeti huru ni moja tu - Tanzanite asitudanganye huyu.
 
Pro. Jalala akihojiwa leo asubuhi na BBC amesema kuwa Azory Gwanda ametoweka ingawa taarifa za hivi karibuni kuhusu Azory zinaweza kuondoa ukakasi katika taarifa iliyosababisha taharuki kwa wananchi.
 
"Ukweli una tabia moja nzuri sana. Haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake, watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa." ~ Mwl. J. K. Nyerere
 
'' Disappeared and died'' haijakamilika au ni sentensi korofi.
maana ilipaswa kuwa '' Disappered , and appeared dead''.
Maanda yake hicho kipengere cha appeared anakijua msemaji, waandishi wa ndani wamuhoji mkuu alijuaje kitu kilichopotea kimekufa kabla hajakiona?
 
Wewe umesikiliza BBC ipi? Kasema Azory amepotea na alishakufa.
Swali kumbe anajua alishakufa? Lini na kazikwa wapi. Nani waliomuua?
Azory did not die mysteriously, he knows what they did to eliminate him and God will curse them
 
tafuta mahojiano aliyoyafanya kwa kiswahili baada ya yale ya kiingereza tafuta kwenye youtube utasikia
 
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi amekanusha kuthibitisha kuwa Mwandishi Azory Gwanda aliyetoweka tangu 2017 amefariki. Asema amenukuliwa vibaya na kuwa alichosema ni kwamba wapo watanzania waliopotea, na waliofariki. Amesisitiza uchunguzi wa tukio hilo unaendelea. https://t.co/Tw5ApTh7nG
 
July 10, 2019
London, UK
BBC Focus on Africa interviews Tanzania's Foreign Minister Prof. Palamagamba Kabudi on media freedom
 
tafuta mahojiano aliyoyafanya kwa kiswahili baada ya yale ya kiingereza tafuta kwenye youtube utasikia

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 SAWA BOSS😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Tulitegemea hili la sivyo angegeuzwa historia😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…