Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Labda anajua kweli kwamba Azory amefariki kwa kuwa ana taarifa kutoka "watu wasiojulikana".
 
Mimacho ile hatariii. Kazi yake ni ngumu sana kutetea Serikali ni ngumu kidogo
 
Kabudi anaongea kama anakimbizwa na kapewa maneno ya kusema kwa dakika, asipofikisha anapigwa mshale!

Mpaka Azory Gwanda anamwita Azory Rwanda.

Hilo tu ni tatizo.

..haonyeshi kusikitishwa na kupotea kwa Azory Gwanda.

..yuko defensive mwanzo mwisho.

..Majibu yake yanaweza kutafsiriwa kwamba anahalalisha kupotea kwa Azory Gwanda.

..Vilevile he is impolite kwa kutokumpa nafasi mwandishi kumaliza kuuliza swali.
 
Disappead and died?
Kuna polisi wali disappear?
Huu ni uongo.
 
..haonyeshi kusikitishwa na kupotea kwa Azory Gwanda.

..yuko defensive mwanzo mwisho.

..Majibu yake yanaweza kutafsiriwa kwamba anahalalisha kupotea kwa Azory Gwanda.

..Vilevile he is impolite kwa kutokumpa nafasi mwandishi kumaliza kuuliza swali.
Hiyo impolite labda anageza kwa mkuu wake wa kazi, au wanafanana.

Kna siku Magufuli alimkatiza muandishi akamwambia aende kufanya research, mpaka aibu nikaona mimi.
 
Akili zemu nyepesi sana..
Mnangangania tafsiri yenu ndio iwe universal..?!

Kusema amepotea na kufa bado ni assumption sababu hakupatikana, sasa nyny vichwa panzi mshatengeneza script..
Hivi dereva wa kirikuu ana elimu ya kiwango gani?
 
We babu umeisikiliza mwenyewe hiyo habari au umeona kipande cha video tu?

Ahsante kwa clip...

Kwanza je ni kweli gazeti lililofungiwa ni moja tu?? Really?

Kuhusu Azori... hii sentensi "Talking about Kibiti, Its a not only Azori who disappeared and died...." we binafsi umeielewaje

Ahsante
 
Sasa hapo ambacho haujaelewa nini au kiingereza kinakusumbua?
 
Cc Avriel
 
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
Sawa mtalaamu, lazima nikiri kwamba the man's ability is beyond even my understand! So, tafadhali naomba unieleweshe manake mimi sijamuelewa pale aliposema "..not only Azory Gwanda who has disappear and died"?
 
Mbona huyo sio Zuhura Yunus
 
Kwani Palamagamba ni waziri wa mambo ya ndani...?
 
Hivi kupotea kwa mwandishi ni zaidi ya kupotea kwa rai mwingine? Mbona tunasikia watu Rufiji walikufa wengi inakuweje anayeonekana ni binadamu ni Azory Gwanda pekee? Kwanini tusiwandike na wengine? Au kazidi ubinadamu zaidi ya walipoteza maisha Rufiji?
 
Alichemka akasema "when the president was the president, and the law was the law".

Implying that, currently we have neither a president nor law!

Ironically, while he was supposed to be the minister of justice.
Hata hiko cheo unachoona angetakiwa kuwemo hafai kabisa kuwemo.
Prof cant be a leader at all.
Nakumbuka ban pekee niliyopigwa hapa JF ni kumwita Prof Kibudu (nikimaanisha mawazo yake ni mfu).
Mwisho wa siku rais kaja kusema hadharani anamwita Pumbavu.

Ye mwenyewe anajua katokea 'jalalani'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…