Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Labda hajui kiingereza au hujasikia vizuri soma na maeneo
 















Hivi ni kwanini Kabudi akiwa anaongea anapenda sana Kutumbua Macho yake huku Mate yakimruka sana kutokea Mdomoni mwake?
 
Hongera sana waziri wetu, Profesa Palamagamba Kabudi, msomi nguli wa sheria! Hakika umethibitisha kwamba kweli wewe ni msomi unayeitendea haki taaluma yako! Msomi wa kweli lazima asimamie kweli! Hatimae umewasaidia wanafamilia wa Azory, manake endapo wangekuwa Waislamu, hivi sasa wangeandaa tu hitima basi, manake hakuna sababu tena ya kumsubiria maiti! Azory Gwanda amekufa! Nimekosea, Azory Gwanda ameuawa na waziri wetu amelisema hilo bila kupepesa macho!

Rule of thumb ni kwamba, an experienced murderer hawezi kujishitaki wala kujipeleka kwa vyombo vya sheria! Serikali ikimfahamu muuaji haiwezi kuchukua hata saa moja kabla haijamtia nguvuni kwavile inafahamu muuaji mwenyewe hawezi kujipeleka! Sasa ikiwa tayari serikali inafahamu kwamba Azory ameuawa, kwanini hadi sasa haijamkamata muuaji wa Azory na kumfungulia mashitaka?! Let me guess, by Rule of Thumb, an Experienced Murderer hawezi kujipeleka mwenyewe kwenye nguvu za dola!!

#BringBackGwanda'sCorpse"
 
 
Wengine washaamua kuwa malaya wa kifalsafa ili kutumika tumbo.

Kawwatukana ndugu zake wote na jamii ya wasomi kwa kusema katoka jalalani.
 
Usidogoshe uhai wa mtu mmoja kama vile huyo mtu mmoja hana thamani yoyote.
Kwa kutojali uhai wa mtu mmoja ndio maana Prof Majalala katuthibitishia Azory alipotea na kufariki.
Zitto alikuja na list ya watu zaidi ya 400 waliopotea/kuteswa. Ulizia kwa serikali kama watu hao wamepatikana? Watu wasiojulikana wanaohusika na utekaji/uoptezwaji wa watu MKIRU wameshakamatwa??
 
Jana DW radio walikuwa na kipindi cha mbiu ya mnyonge. Imenisikitisha sana.
Waliongelea matukio ya utekwaji na mauaji yanayoendelea Tanzania bila vyombo vya dola kutoa majibu ya maana au kujikalia tu kimya kama hakuna kinachoendelea.
Wameielezea Tz iliyokuwa inajulikana kama kisiwa cha amani kwa sasa imegeuka kuwa nchi ya hofu na kukosa matumaini kwa raia wake kuiona kesho.
Uhuru wa maoni umeuawa, haki za binadamu kutoheshimiwa na demokrasia kuminywa imekuwa ni maisha ya watanzania kwa sasa.
Imeniuma kweli!

Ni wapi kama taifa tumekosea?
 
Huyu dada angekuwa TZ, kesho angefungiwa kutangaza, sio kwa kumfanya Prof atoe macho hivi !
em mwambieni huyo dada Zuhra anywe soda hapo nnje ya baridi...nakuja kulipia!
 
hivi huyu ni professor kweli ,basi ni hatari kwa taifa
 
maneno hayo hayawezi kutoka kwa mtu makini na guru la sheria Tanzania kwa sababu anajua kabisa yatamhukumu. Jaribu upotoshaji mwingine
Umelewa alichoongea? Kifupi amesema hivi, ''Si yeye (Azory) pekee ndiyo amepotea na kufa....''. Japokuwa Lugha ya kiswahili ni yetu, lakini si vibaya kuzijua na Lugha zingine
 
Yaani Kabudi hata jina linamshinda anasema Azory Rwanda mara Azory he is totally disconnected...anatia aibu sana yaani miaka yote ya kufundisha still unapapalika kwenye kuongea kwenye one on one hahaha....
Kwa hiyo Azory is dead basi sawa....
 
Mungu mpokee mtumishi wako Azory Gwanda
 
Mungu mpokee mtumishi wako Azory Gwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…