Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha people hawa wanaosema mwenyekiti wenu ni dikteta
Dhwahiri shahiri!Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Degree yake ya kwanza ya sheria!PLO Lumumba kasomea ngazi gani ya Elimu UDSM?
Kajifunze kuandika kwanza! Ndo uanze kumwita Profesa mbwa! Which power?au whose power?..Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/
Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
Kajifunze kuandika kwanza! Ndo uanze kumwita Profesa mbwa! Which power?au whose power?..
Mmekalia matusi tu ndio mnachojua nyinyi ,hoja hujibiwa kwa hoja la sivyo pita wima!.
OK,Basi chanzo changu kina shida Ila hata Wikipedia inasomeka ni Nairobi University for both LL.B&LL.MDegree yake ya kwanza ya sheria!
swali zuri.ccm ni amani na amani ni ccm.Kwahiyo unataka nisiandike kwa amani ?
Ngoja waje wabobezi aina ya akina Kabudi au Safari maana haya mambo ukiyaendea kwa haraka unaweza kudhani amezungumza kitu kile kile.....na amerudia mara kadhaa.Johnthepstist
Ni ipi tofauti ya filosofia na falsafa.
Kuhusu Chadema sio chama kichanga kwa namna anavyoongelea. Ni chama kikubwa sana kipo tayari kuchukua madaraka. Viongozi wengi wanowania nasfasi za uongozi sio wanataka madaraka bali ni watu wanasukumwa na uchu wa kuwatumikia wananchi/wanachama. Hili lipo wazi kabisa.
Kuna watu wanajua kucheza na akili ya magufuli tusishangae ndani ya hii akateuliwa kuja kufundisha pale udsm
Wakati wa EAC ya zamani Udsm ndio ilijikita kusomesha wanasheria hii aliwahi kuisema yeye mwenyewe pale Mlimani kwenye mdahalo!OK,Basi chanzo changu kina shida Ila hata Wikipedia inasomeka ni Nairobi University for both LL.B&LL.M
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
hivi unajua thamani ya prof patrick lumumba mpaka unamwita mbwa ?Mbwa ni lugha ya picha mtu ukiwa ccm hakuna neno zuri zaidi ya mbwa.
Kuna 'truth of fact', 'truth of opinion' na 'truth of reason'. Je, tunaweza kutofautisha?Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.
umekuja kumsaidia tumbiri kutukana ma professor ?Kwani nchi hii imewahi kuwa na rais profesa? Je ccm imeshindwa kuwatumia maprofesa wawaongoze?
Halafu jitahidi kuandika kwa kufuata sifa za uandishi, kama kuweka koma, nukta, matumizi ya herufi kubwa na ndogo, ikiwemo kuacha nafasi kati ya neno na neno ww kilaza.