Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

PLO Lumumba kasomea ngazi gani ya Elimu UDSM?
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Dhwahiri shahiri!
 
Johnthepstist

Ni ipi tofauti ya filosofia na falsafa.
Kuhusu Chadema sio chama kichanga kwa namna anavyoongelea. Ni chama kikubwa sana kipo tayari kuchukua madaraka. Viongozi wengi wanowania nafasi za uongozi sio wanataka madaraka bali ni watu wanasukumwa na uchu wa kuwatumikia wananchi/wanachama. Hili lipo wazi kabisa.
 
Definition ya chadema inasema hivi_____Chadema is the political. Party which power belong to the people/

Sisi chadema kumsingiliza Mbwa tunasikia kelele tu.
Kajifunze kuandika kwanza! Ndo uanze kumwita Profesa mbwa! Which power?au whose power?..
Mmekalia matusi tu ndio mnachojua nyinyi ,hoja hujibiwa kwa hoja la sivyo pita wima!.
 
Hivi kweli tunahitaji uchambuzi wa kina Prof Lumumba kujua kuwa ACT sijui CUF sijui Chadema ni vitalu vya Wapigaji?
Atleast NCCR unaweza ukajishawishi hata kinafki kuwa kinaweza kuvaa viatu vya Chama kikuu cha Upinzani kwa muda otherwise Ccm ilitosha kuwa Chama tawala na pia kuwa Chama kikuu cha Upinzani kwa wakati mmoja
 
Kwahiyo unataka nisiandike kwa amani ?
swali zuri.ccm ni amani na amani ni ccm.

wewe unakaharufu harufu kazuuri kananukia kanako hashiria muda wowote utajiunga na ccm.
amia ccm achana na vilaza wa cdm.
 
Johnthepstist

Ni ipi tofauti ya filosofia na falsafa.
Kuhusu Chadema sio chama kichanga kwa namna anavyoongelea. Ni chama kikubwa sana kipo tayari kuchukua madaraka. Viongozi wengi wanowania nasfasi za uongozi sio wanataka madaraka bali ni watu wanasukumwa na uchu wa kuwatumikia wananchi/wanachama. Hili lipo wazi kabisa.
Ngoja waje wabobezi aina ya akina Kabudi au Safari maana haya mambo ukiyaendea kwa haraka unaweza kudhani amezungumza kitu kile kile.....na amerudia mara kadhaa.

Kuhusu Chadema kushika dola bado sana kwa sababu mgombea urais ni hadi wamlazimishe mtu tena kwa masharti au wabadili gia angani hawana maandalizi!
 
Prof. P.L.O Lumumba kama wanaLumumba, wananchama na wafuasi wa CCM mwaka 2017 walikuwa na matumaini makubwa.

Lakini muda ni somo kubwa kufahamu yale matumaini na sifa zilianza kupotea 2017, 2018, 2019 na sasa 2020 wengi wamekata tamaa

Toka maktaba:
25 Oct 2017
Professor Patrick Lumumba was Interviewed at Tanzania's based TV Channel on 24th October 2017 by Leonard Mapuli,a popular Tv Presenter in Tanzania.He discussed about the 2017 Kenyan's re-election and Tanzania's President Magufuli dealing with corruption and the war against the misuse of Natural Resources.

OK,Basi chanzo changu kina shida Ila hata Wikipedia inasomeka ni Nairobi University for both LL.B&LL.M
Wakati wa EAC ya zamani Udsm ndio ilijikita kusomesha wanasheria hii aliwahi kuisema yeye mwenyewe pale Mlimani kwenye mdahalo!
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Zitto Kabwe wacha kujipiga vidole huko uliko, ebu njoo hapa utupe habari juu ya hii ripoti maana inakulenga wewe moja kwa moja.
 
Mbwa ni lugha ya picha mtu ukiwa ccm hakuna neno zuri zaidi ya mbwa.
hivi unajua thamani ya prof patrick lumumba mpaka unamwita mbwa ?
prof lumumba ni lini alikuwa mwana ccm ?
prof kutuo maoni yake ndo amekuwa mbwa ?
kwanini nyinyi bavicha mnamakengeza mpaka kwenye ubongo ?
 
Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.

Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.

Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.

Source: Medani za Siasa Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Kuna 'truth of fact', 'truth of opinion' na 'truth of reason'. Je, tunaweza kutofautisha?
 
chadema mnatabia ya kudharau ma professor na wasomi.yani unamwita msomi mbwa ?
professor safari na professor baregu mmeshindwa kuwatumia kuwaongoza mmewapuuza ndo maana chama kimekufa.

Kwani nchi hii imewahi kuwa na rais profesa? Je ccm imeshindwa kuwatumia maprofesa wawaongoze?

Halafu jitahidi kuandika kwa kufuata sifa za uandishi, kama kuweka koma, nukta, matumizi ya herufi kubwa na ndogo, ikiwemo kuacha nafasi kati ya neno na neno ww kilaza.
 
umekuja kumsaidia tumbiri kutukana ma professor ?
ahaa kumbe ndomaana chadema imekufa.
hivi mataahira kama wewe ndo yanapewa nafasi za kuongoza chama ?
matokeoyake mmewadharau ma prof akina safari na baregu chama kimeshikwa na macho ya kinyonga,lema,msigwa na mdee.
 
Back
Top Bottom