Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Huyu jamaa nilikuwa namuamini sana ila niliacha kumuamini siku ambayo nilimsikia akimzungumzia MAGUFULI na kumfananisha na akina Osagiefo kwame nkrumah, MAGUFULIFICATION
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana huyu Prof. Ila kila akiongea lazima niwe na The Longman Dictionary!Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Lumumba is highly paid with this crooked ruling party to pave their way, waitishe tume huru, sisi majaji tupewe uhuru, ucgaguzi usimamiwe na wengine, hata serikali ya Somalia waone
Thats it, hakuna tofauti na Buyoya kuweka Puppet wake ama kabila etc.Independent committee .../ and new constitution .....The medicine of ccm to stay too long in power
Thats it, hakuna tofauti na Buyoya kuweka Puppet wake ama kabila etc.
Mkuu, Habari!!Sio unaongea kinyume? Maana sumu ya CCM ni tume huru, CCM hawana watu ila mamlaka I.e vyombo vya dola plus tume mbovu ya uchaguzi, While CHADEMA wana akidi ya kutosha ya watu
Kataa mganga lakini dawa yake tumia. Ukidharau dawa utakufa.Huyu tapeli wa kisiasa amekuwa akikipigia upatu chama cha mapinduzi. Tapeli mkubwa
We kibwengu acha kuadvertise ujinga wako na vimaneno vyako vya kutunga ambavyo ni senseless kana kwamba jf wote humu ni mazombie wa lumumba watu wasiojielewa mavuvuzeraMchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa.
Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao ili viwexe kukubalika na kuaminiwa na wananchi kuwa ni vyama vya siasa.
Prof Patrick anasisitiza kuwa ukiangalia vyama kama Chadema na vyama vingi vya nchini Kenya ni vyama " Kinyonga" yaani vyama vya uchaguzi na wanachama wake wanachotafuta ni madaraka na siyo itikadi ndio maana wanahama hama vyama kutafuta ugali.
Source: Medani za Siasa Star tv
Maendeleo hayana vyama!
wa kwako upoje, ama wewe upo na Lusinde, Kinajaji, Polepole na Msukuma? Ndio think tank wako?Huo ni mtazamo wako mwenyewe
umekuja kumsaidia tumbiri kutukana ma professor ?
ahaa kumbe ndomaana chadema imekufa.
hivi mataahira kama wewe ndo yanapewa nafasi za kuongoza chama ?
matokeoyake mmewadharau ma prof akina safari na baregu chama kimeshikwa na macho ya kinyonga,lema,msigwa na mdee.
kwani sie sio watu mpaka useme CCM haina watu? Kwa taarifa watanzania waliowengi hawachagui vyama bali wanachagua akili dhidi ya upumbavu. Mpaka muache wehu na upumbavu wenu ndipo mtachaguliwa. Msipo sikiliza ushauri mkabaki kuwaamini wahuni waendeshe chama, NCCR hiyooooo!Sio unaongea kinyume? Maana sumu ya CCM ni tume huru, CCM hawana watu ila mamlaka I.e vyombo vya dola plus tume mbovu ya uchaguzi, While CHADEMA wana akidi ya kutosha ya watu
CCM ni mashetani menyewe kwa menyewe yanawindana kuuana yatakuwa na uchungu wowote kwa watanzania ?CCM sio chama cha siasa tena bali kundi la ugaidi tuu.
Chama cha siasa kinachofikia kumlisha sumu makamu mwenyekiti wa Taifa ili afe! Na ukiona Mambosasa ameshindwa kutimiza kauli yake kuwa aliyehusika atatafutwa baharini au nchi kavu basi ujue wahusika/mhusika ni watu wenye nafasi juu sana kuguswa.
Jee nani huyo/hao? Kama wenyewe kwa wenyewe wanauana watashindwa kuwaua wengine? Sasa hivi wanajifanya wameshasahau jambo hilo na mzee Mangula kafichwa
Amesahau kuwa kenya hakuna vyama vya siasa bali kuna mafundi ya wanasiasa wanafanya ulanguzi wa madarakaHuyu profesa Ni sawa na Lipumba.Yaani Chadema ambayo imejizolea wanachama na ina falsafa yake,chama kunachopambana na vyama vingine ikiwemo CCM yenye kutumia dola na kila taasisi ya umma na ikabaki imara yeye anasema ni chama kichanga. Hapo kwao ni chama gani aweza kifananisha na Chadema? Kuhama vyama Ni jambo la kawaida sema kuhama na kukashfu uliowaacha ndo jambo la hovyo,Trump mwenyewe kahama vyama hata Leon Trotsky alihama chama.
Huyo ana PhD ya Tanzania kama za wale wengine wa hapa waliojazana huko bungeni na Serkalini. Anajaribu bahati yake ya kuteuliwa kwa kuunga mkono juhudi na kusifia mpaka hivi karibuni alipewa zawadi alipokwenda Ikulu.Huyu tapeli wa kisiasa amekuwa akikipigia upatu chama cha mapinduzi. Tapeli mkubwa