Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 8, 2024 #41 Bus linafunguliwa muziki mwanzo mwisho wa safari na movies za mkojani, kuna wauza dawa za nguvu za kiume na mapunye, kuna wahubiri na watoa mawaidha.
Bus linafunguliwa muziki mwanzo mwisho wa safari na movies za mkojani, kuna wauza dawa za nguvu za kiume na mapunye, kuna wahubiri na watoa mawaidha.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 9, 2024 #42 Yoda said: Bus linafunguliwa muziki mwanzo mwisho wa safari na movies za mkojani, kuna wauza dawa za nguvu za kiume na mapunye, kuna wahubiri na watoa mawaidha. Click to expand... Hivi huyu Mkojani amewahonga nini madereva wa Mabasi ya njia ya Iringa, Mbeya, Songea? Wasipomuweka Mkojani shuka kwenye bus ujuwe umepotea bus, úmepanda la Arusha.
Yoda said: Bus linafunguliwa muziki mwanzo mwisho wa safari na movies za mkojani, kuna wauza dawa za nguvu za kiume na mapunye, kuna wahubiri na watoa mawaidha. Click to expand... Hivi huyu Mkojani amewahonga nini madereva wa Mabasi ya njia ya Iringa, Mbeya, Songea? Wasipomuweka Mkojani shuka kwenye bus ujuwe umepotea bus, úmepanda la Arusha.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 May 9, 2024 Thread starter #43 Proved said: Huo usafiri haukuruhusu hata kusoma kwa mbanano huo Click to expand... Zile VIP za kwenda mikoani?
Proved said: Huo usafiri haukuruhusu hata kusoma kwa mbanano huo Click to expand... Zile VIP za kwenda mikoani?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 9, 2024 #44 chiembe said: Zile VIP za kwenda mikoani? Click to expand... Huwa wanaweka movies za mkojani.