Prof. Safari: Kwenye usafiri wa umma, wazungu husoma vitabu na magazeti, watanzania wanatafuna mahindi ya kuchoma na mayai ya kuchemsha

Bus linafunguliwa muziki mwanzo mwisho wa safari na movies za mkojani, kuna wauza dawa za nguvu za kiume na mapunye, kuna wahubiri na watoa mawaidha.
 
Hivi huyu Mkojani amewahonga nini madereva wa Mabasi ya njia ya Iringa, Mbeya, Songea?

Wasipomuweka Mkojani shuka kwenye bus ujuwe umepotea bus, úmepanda la Arusha.
 
Back
Top Bottom