Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Uhaini wao ni nini ?!!Jambo moja la msingi alipaswa Rais ni kuwashughulikia wanasheria wote walio kuwa kwenye timu hii ya mkataba huu kwani ni Wahaini na wahujumu uchumi.
Hakuna Rais atakayepatikana na kuonekana si wa maajabu......Rais aliyepita alikuwa wa ajabu aliyepo sasa hivi anaweza kuwa wa ajabu zaidi. Nchi hii imegeuzwa maabara ya kujifunza kuongoza matokeo yake anayeongoza ni mwingine.
Labda msikilize hapa kipindi kile kabla hajaoga maji ya kijani.Naomba mwenye clip ya Pro Kabuni akizingumzia huu mkataba atuletee kwa sababu tumeaminishwa kwamba yeye ni mwamba kwelikweli ya mikataba. Ndipo tujue Hali halisi ipoje
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Mawazo ya profesa yanaheshimiwa lakini kufikia mkataba na DPW kulikuwa na mawazo mbadala ambayo yanakwenda kutupatia nusu ya bajeti ya nchi kila "fiscal year" hapo bandarini.....Inasikitisha mno mno kuwa na viongozi wa aina hii ni kuliangamiza taifa. Uchambuzi wa ISA umeonyesha ujinga wa viongozi tulionao
Bunge lipo...Bunge la CCM LIVUNJWE limeshindwa kutetea masilahi ya nchi na kuishauri vizuri serikali
Hisia zako si UHALISIA...kuna remot inaendesha nchi
[emoji15][emoji15] Conspiracy theories....Sababu kubwa ya Bandari yetu(zetu) kugawawiwa na wala siyo kuuzwa ninkugawa bure ni Kongo, na hilo liko juu ya Viongozi wote wa Tanzania, wanaochukuwa mali za Kongo wanaopiganisha Vita Kongo ili waibe rasilimali ndiyo wanaochukuwa pia Bandari zetu, muda utaongea na ndiyo hakuna kitu tutafanya, zimeshaenda hizo, sababu ni mali za Kongo na Serikali haitahusika na kitakachopita Bandarini ili isijulikane Mali zaKongo zinaenda wapi. Serikali haitajua nini kinaingia na kipi kinatoka.
Kwa kifupi kilichofanyika ni kama karne iliyopita foreign army wangetuvamia na ku seize Bandari yetu na kuweka military post kuirun Bandari kwa manufaa yao ila leo karne ya 21 hilo haliwezekani moja kwa moja wanatumia mbinu nyingine lkn matokea ni yale yale.
Unafikiri timing ya Bandari kavu Kigali imetokea tu? Unganishaleni dots mtafika tu kwa mwenyewe, …
Unalialia nini ?!!Kiufupi tumeshaolewa, yaani huyu mama huyu, kuna lana kali sana inamsubiri!
Adabu huna,akili utakuwa nazo ?!!!Rais gani gani huyu huyu mwenye akili za ki Delila?
Kumbuka wakimvua Urais Bado ni mwenyekiti wa CCM!! Atawavua wote uanachama kabla kura haijapigwa hivyo wanakosa sifa za kuwa wabunge. Hizi mambo hazitekelezeki kabisa kwa katiba hii.Wapige haraka kura ya kutokua na imani nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bandari ya Bagamoyo -WachinaWaliokuwa mbele kutetea mardi wa bandari ya Bagamoyo ndio wale wale wamekuja kivingine kuingia makubaliano ya uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam kinyemela.
Mtu kama nape mwigulu na matumbo yao kama nguruwe pori wanakipi cha maana cha kuweza kumshauri huyo bibiSijui haws watu watu walikua wanafikiri nini maana wamefanya jambo la kijinga na ovu sana kwa uhai wa nchi halafu jambo baya zaidi hawataki kuachana nalo wanaendelea tu kudanganya wananchi.
Duuuh hii sasa hatariii khaaaah.Kumbuka wakimvua Urais Bado ni mwenyekiti wa CCM!! Atawavua wote uanachama kabla kura haijapigwa hivyo wanakosa sifa za kuwa wabunge. Hizi mambo hazitekelezeki kabisa kwa katiba hii.
Haanguki ng'o...Anguko la mama. "Ashupazae shingo, huvunjika"
YESU NI BWANA
Wanashangaza kwelikweli.....Mama ana TISS,na ndiyo mshauri wa Mama kwenye kila Jambo! Au unazani Mama kuleta DP hana baraka za TISS!!??
Yeye si mpaka hiyo akili awe nayo sasa ,saa100 amefeli kila hatu ya maisha yake kwa bahat mbaya ndo kiongozo wa nchi ni aibu yetu sisi watanzaniaHuyu mama ni muhimu akawa na Baraza la watu wenye akili wakamshauri tuwache kuhonga chawa Ili tuu kujiingiza kwenye matatizo ,kwa sasa sidhani kama tuna Imani na bunge maana hawatujali sisi kama wananchi CCM imefikia pabaya na hii ikifanyika waje na hoja kwenye uchaguzi 2025 ....#uchawanikansainayotutafunapolepole
Ninalofikiri, ikitokea tumepata serikali nyingine haiwezi kufuta shughuli zote za bunge zilizofanyika 2020 - 2025 maana kuna wabunge wapo mle kinyume na katiba yetu na wengine wapo ambao hawakupigiwa kura na mahakama ilisema ni kinyume na katiba yetu, hivyo maamuzi yote yaliyopitishwa kipindi hicho siyo halali kulingana na katiba ya TanzaniaKila nikikaa na kufiri naona kabisa dalili zote za kuwa na dpw hapa Tanzania, hatuna namna zaidi ya kukubali kilicho tokea, ingawa kama wananchi wanauwezo mkubwa lakini hatufui dafu.
Silaha yetu ni kwenye sanduku la kura, maybe tujaribu hio 2025.
Mlijua bendera inapepe Bure Ile ndo IGA yenyeweHizo gharama za kuvunja Mkataba mtaziweza!!??
Wakati huo baadhi ya vitengo vya tenesco tiari vimeshaabinafsiswa tiari.na makamba ameambiwa atafutute mwekezaji wa tenesco .hi ndo hasara ya kuongozwa na failed presidentKwa mujibu wa Prof Shivji mambo matatu hayapaswi kuwa mikononi mwa makampuni ya kigeni, ambayo ni : Bandari, Fedha na Nishati. Kwa nini serikali haitaki kufuata ushauri huu?