Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

Jambo moja la msingi alipaswa Rais ni kuwashughulikia wanasheria wote walio kuwa kwenye timu hii ya mkataba huu kwani ni Wahaini na wahujumu uchumi.
Uhaini wao ni nini ?!!

Uhujumu uchumi wao ni nini ?!!

Yaani kwa kuwa una MAWAZO MBADALA dhidi ya hao wanasheria basi wahukumiwe kwa mawazo yao waliyoyatoa na kuridhiwa na "think tankers" wa nchi?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Rais aliyepita alikuwa wa ajabu aliyepo sasa hivi anaweza kuwa wa ajabu zaidi. Nchi hii imegeuzwa maabara ya kujifunza kuongoza matokeo yake anayeongoza ni mwingine.
Hakuna Rais atakayepatikana na kuonekana si wa maajabu......

Rais ni binadamu na una haki ya kumkosoa utakavyo...ila halibadilishi hili la DPW.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Naomba mwenye clip ya Pro Kabuni akizingumzia huu mkataba atuletee kwa sababu tumeaminishwa kwamba yeye ni mwamba kwelikweli ya mikataba. Ndipo tujue Hali halisi ipoje

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Labda msikilize hapa kipindi kile kabla hajaoga maji ya kijani.
 
Inasikitisha mno mno kuwa na viongozi wa aina hii ni kuliangamiza taifa. Uchambuzi wa ISA umeonyesha ujinga wa viongozi tulionao
Mawazo ya profesa yanaheshimiwa lakini kufikia mkataba na DPW kulikuwa na mawazo mbadala ambayo yanakwenda kutupatia nusu ya bajeti ya nchi kila "fiscal year" hapo bandarini.....
 
Sababu kubwa ya Bandari yetu(zetu) kugawawiwa na wala siyo kuuzwa ninkugawa bure ni Kongo, na hilo liko juu ya Viongozi wote wa Tanzania, wanaochukuwa mali za Kongo wanaopiganisha Vita Kongo ili waibe rasilimali ndiyo wanaochukuwa pia Bandari zetu, muda utaongea na ndiyo hakuna kitu tutafanya, zimeshaenda hizo, sababu ni mali za Kongo na Serikali haitahusika na kitakachopita Bandarini ili isijulikane Mali zaKongo zinaenda wapi. Serikali haitajua nini kinaingia na kipi kinatoka.
Kwa kifupi kilichofanyika ni kama karne iliyopita foreign army wangetuvamia na ku seize Bandari yetu na kuweka military post kuirun Bandari kwa manufaa yao ila leo karne ya 21 hilo haliwezekani moja kwa moja wanatumia mbinu nyingine lkn matokea ni yale yale.

Unafikiri timing ya Bandari kavu Kigali imetokea tu? Unganishaleni dots mtafika tu kwa mwenyewe, …
[emoji15][emoji15] Conspiracy theories....
 
Kiufupi tumeshaolewa, yaani huyu mama huyu, kuna lana kali sana inamsubiri!
Unalialia nini ?!!

Umeolewa wewe binafsi ?!!! [emoji1787]

Mimi sijaolewa bali ninafurahia kuona tunakwenda kuondoa URASIMU wa bandari kupakia na kupakua mizigo mwezi mzima....

TICTS walishindwa.....
 
Wapige haraka kura ya kutokua na imani nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka wakimvua Urais Bado ni mwenyekiti wa CCM!! Atawavua wote uanachama kabla kura haijapigwa hivyo wanakosa sifa za kuwa wabunge. Hizi mambo hazitekelezeki kabisa kwa katiba hii.
 
Waliokuwa mbele kutetea mardi wa bandari ya Bagamoyo ndio wale wale wamekuja kivingine kuingia makubaliano ya uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam kinyemela.
Bandari ya Bagamoyo -Wachina

Bandari ya Dar- Waarabu DPW
 
Sijui haws watu watu walikua wanafikiri nini maana wamefanya jambo la kijinga na ovu sana kwa uhai wa nchi halafu jambo baya zaidi hawataki kuachana nalo wanaendelea tu kudanganya wananchi.
Mtu kama nape mwigulu na matumbo yao kama nguruwe pori wanakipi cha maana cha kuweza kumshauri huyo bibi
 
Kumbuka wakimvua Urais Bado ni mwenyekiti wa CCM!! Atawavua wote uanachama kabla kura haijapigwa hivyo wanakosa sifa za kuwa wabunge. Hizi mambo hazitekelezeki kabisa kwa katiba hii.
Duuuh hii sasa hatariii khaaaah.
 
Huyu mama ni muhimu akawa na Baraza la watu wenye akili wakamshauri tuwache kuhonga chawa Ili tuu kujiingiza kwenye matatizo ,kwa sasa sidhani kama tuna Imani na bunge maana hawatujali sisi kama wananchi CCM imefikia pabaya na hii ikifanyika waje na hoja kwenye uchaguzi 2025 ....#uchawanikansainayotutafunapolepole
Yeye si mpaka hiyo akili awe nayo sasa ,saa100 amefeli kila hatu ya maisha yake kwa bahat mbaya ndo kiongozo wa nchi ni aibu yetu sisi watanzania
 
Kila nikikaa na kufiri naona kabisa dalili zote za kuwa na dpw hapa Tanzania, hatuna namna zaidi ya kukubali kilicho tokea, ingawa kama wananchi wanauwezo mkubwa lakini hatufui dafu.

Silaha yetu ni kwenye sanduku la kura, maybe tujaribu hio 2025.
Ninalofikiri, ikitokea tumepata serikali nyingine haiwezi kufuta shughuli zote za bunge zilizofanyika 2020 - 2025 maana kuna wabunge wapo mle kinyume na katiba yetu na wengine wapo ambao hawakupigiwa kura na mahakama ilisema ni kinyume na katiba yetu, hivyo maamuzi yote yaliyopitishwa kipindi hicho siyo halali kulingana na katiba ya Tanzania
 
Kwa mujibu wa Prof Shivji mambo matatu hayapaswi kuwa mikononi mwa makampuni ya kigeni, ambayo ni : Bandari, Fedha na Nishati. Kwa nini serikali haitaki kufuata ushauri huu?
Wakati huo baadhi ya vitengo vya tenesco tiari vimeshaabinafsiswa tiari.na makamba ameambiwa atafutute mwekezaji wa tenesco .hi ndo hasara ya kuongozwa na failed president
 
Back
Top Bottom