Sijaona popote mtu alipotaja vigezo mahususi vya kisheria, taratibu au sera katika kugawa mikoa. Labda uniambie ni posti namba ngapi.
Ni swali halali, ambalo sina nafasi ya kulijibu wakati huu, lakini ninajuwa ukiweka juhudi kidogo tu kutafuta taarifa hiyo utapata jibu.

Tayari hata kwenye mada hii hii, baadhi yake vimekwishatajwa.
 
Serikali ndio huwa inatumia hivi vigezo nane katika kugawa mikoa?
 
Bora Karagwe na Kyerwa wanaendana vizuri na wahaya ila watu wa Ngara na Biharamulo ni bora tu wakamegwa wakaunganishwa na washuti wenzao wa Kakonko. Wanaendana kabisa.
 
Walitumia ULAFI NA UPENDELEO!!! Sasa mama hana sababu ya kuiga tabia chafu za namna hiyo kwani yeye ni muumini wa dini inayoamini kutenda haki!!!
Hata madiwani wao wenyewe wamekataa kuanzishwa huo mkoa
 
Search vzr haiwez kuwa hivo
 
..mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa mkoa wa Chato tuondokane na usumbufu na mizozo isiyo na tija.

This is a good proposition kuondokana na mzizi wa fitina !!

Tukumbuke tu kuwa maamuzi mengi ya mwendazake likiwemo hili la mkoa wa Chato pamoja na kujenga international stadium ni maamuzi ya kufikirisha sana kwa akili ya kawaida ya upembuzi yakinifu!!!
 
Mimi nadhani kama ni lazima kumuezi huyo shujaa wao basi mkoa wa Geita ubadilishwe jina uitwe CHATO na makao makuu ya mkoa yahamishiwe wilaya ya CHATO kuokoa au kupunguza matumizi yasiyo na ulazima.
Thubutuuuu koma kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…