Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa
Hizo Wilaya zilitoka wapi? KUna watu ni wapuuzi tu! Wanaongeza mzigo kwa nchi na kusababisha watu kutengana. Hata wilaya zikifika 100, eneo ni constant, haliongezeki.
Kuna baadhi ya mambo unaweza kuelewa ila siyo kwa Geita, Mbeya ninaijua vizuri ilikuwa maendeleo imbalance, kuna wilaya za pembezoni zilikuwa hazikumbukwi, ila tangu mgawanyiko angalau kuna tofauti kidogo
 
Maeneo yote ya utawala nchi hii ni makubwa.
Mkoa ukiwa na ukubwa kiasi gani ndio unagawanywa?
Mkoa kugawanywa nikufanya watawala waweze kufika kwa muda na kusikiliza kero za wananchi kirahisi
 
Mkoa wa geita hawana mamlaka ya kumlazimisha mkuu wa nchi atumie fedha za umma kwenye mambo yasiyo na tija kwa umma.

Chato haina sifa ya kuwa mkoa maana chato ni kiwilaya sawa na kibondo au ukerewe

Rais Samia alipoombwa Mkoa wa Chato aliwajibu kwa busara kabisa kuwa serikali haitakuwa na kigugumizi kama Chato itakidhi vigezo!!! Sasa huko mkoani wanasema eti wamekidhi vigezo vya kuwa mkoa ; sawa imebakia kwa serikali kuu sasa kutafakari na kuona kama kweli hivyo vigezo vimefikiwa na kama kuna ulazima wa chato kuwa mkoa kwa mzingira ya kiuchumi tuliyonayo!! Hao wa mikoa ambayo sehemu zao zitamegwa kuletwa huko Chato wamehusishwa katika huo uamuzi? Isije ikawa kila Rais inayekuja anataka kulazimisha kijiji alikozaliwa kiwe mkoa kwa mtindo huo nchi itadumaa bila maendeleo!!!
 
Mkoa kugawanywa nikufanya watawala waweze kufika kwa muda na kusikiliza kero za wananchi kirahisi
Hayo ni mawazo yaliyopitwa na wakati ; siku hizi kuna maendeleo ya technology hakuna sehemu isiyoweza kufikiwa kwa wakati!!!
 
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
 
Kuna baadhi ya mambo unaweza kuelewa ila siyo kwa Geita, Mbeya ninaijua vizuri ilikuwa maendeleo imbalance, kuna wilaya za pembezoni zilikuwa hazikumbukwi, ila tangu mgawanyiko angalau kuna tofauti kidogo
Hizo Wilaya kusahaulika ni ubinafsi na ukabila tu! Ukishasema hivyo, itakuwa ni sababu ya kuikata biharamulo kutoka Kagera. Wahaya hawajawahi kuiona kama ni wilaya inayostahili kuwa sehemu ya Kagera. Huyo Tibaijuka anajifanya ujuaji wa kizembe tu maana ndo wanaoongoza ku-despise wilaya wanazoziona eti siyo za wahaya halisia. Ngara, Karagwe wote wanaonekana kama wacahafuzi wa mkoa wa Kagera machoni mwa akina Tibaijuka. Ni sawa na akina Mbowe wanaposema Kilimanjaro wanawaona wapare kama wavamizi.
 
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Eneo linafikisha vipi 20,000 Sq Km? Ardhi inatanuka? Si yanakatwa maeneo mengine kwa mianajiri gani?

Hakuna faida yoyote ya unzishwaji mikoa mipya, hata iliyopo ilitakuwa kuunganishwa.
 
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Kwa hiyo chato imefikia vigezo hivyo au siyo.
 
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwehttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mapendekezo-mkoa-wa-chato-kuwa-na-wilaya-tano-3418264
 
CHATO NI MKOA! ... PERIOD!
1622394375442.png
 
Binafsi sipingani na yeyote yule, anayetaka Chato iwe Mkoa, sawa. Asiyetaka pia kwangu sawa tu. Lakini swali langu kwa watu aina ya Prof Tibaijuka, mlikuwa wapi kuyasema hayo wakati Mwendazake hajaendazake???

Tuache siasa za kinafiki. Kama unalo jambo lako, ongea mtu akiwa hai, siyo unasubiri mtu akufe ndiyo unajitokeza na kuanza kubwabwaja.
I hate hypocrisy and hypocrites.
 
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.

Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Dar na Kilimanjaro hazina hiyo km za mraba.

Halafu wewe ni punguani wa hesabu, Unajua 15%ya population ya TZ ni Watu wangapi?hata DSM ambayo ni most populated haina 10% japo density yake Iko juu kuliko Mkoa wowote

Mataga mnafikiri Kwa kutumia makalio, akili aliondoka nazo yule mungu wenu
 
Back
Top Bottom