Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
Mama ana akili sanaMwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
View attachment 3536746
Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
Una-qualify vipi kuwa chama kikuu cha upinzani?Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani, TAL ndo anazungumziwa na Ana Tibaijuka
😀😀 Ila siasa bhana ni ushetani mkubwa sana Yaani through yote Yale Yaliyo tokea still serikali inaona ni sawa walichokifanya na Wana hangaika tu- make sure waonekane kuwa ni wasafiHuyu ndiyo Professor kamili siyo mzee Propesa Aidan Mwaluko sijui mcharuko Kabudiy
Yule mzee anashirikiana na wahuni kuficha ukweli.
Kaenda Vatican kuwashitakia TEC sababu ya kukemea uuwaji, utekaji, ufiraji na kubambikia watu kesi za uhaini.
Naunga mkono hoja za Prof TibaMwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
View attachment 3536746
Hapo alimaanisha kwenye mgao yeye ndo kapewa kiduchu. Kuna watu walikula mzigo hasa..kwamba mnamuandamana kwa milion 10 tu?Vipi waliopiga mzigo wa maana ingawa hakuwataja😂😂😂😂Mama wa Mil 10 hela ya mboga, hapa yuko sahihi.
Huna akili.Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
Kama sijakosea kuna mtu aliwahi kushauri ili neno ' Vyama/chama kikuu cha upinzani' Si neno zuri sana kutumika hasa kwa nchi zetu sababu wengi neno 'MPINZANI' wakilisikia huwa wanalitafsiri au kulipa maana tofauti na zaidi ni kwa mlengo wa ubaya. Ndo Maana kuna kauli chama tawala wanasemaga kwamba "hawa Wapinzani wanapinga kila kitu".Sasa mtu akisikia kauli kama hii anahitimisha kwamba vyama vya upinzani wao kazi yao ni chuki na kutoona jema la chama tawala. Ni vyama/Chama kazi yake ni kukosoa mazuri,kuchochea chuki au uasi,si wazalendo, wako kuharibu amani ya nchi, wanatumika na mabeberu..yaan Ukiitwa kwa Neno ' Mpinzani' basi ni kama umbwa usiempenda unambandika jina baya tu. So, Mpinzani unabandikwa kila aina ya ubaya na unahalalishiwa uonevu wowote kutendwa kwako hata kamaa ulikuwa sahihi.Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
The big show bado hajauona huu uziChawa wa mama wataruka naye muda si mrefuView attachment 3536748
Huyo maza yupo nje ya system ndio maana anatema madini. Wakati wake wa kulamba asali nae alikua kama huyo kabudi tuHuyu ndiyo Professor kamili siyo mzee Propesa Aidan Mwaluko sijui mcharuko Kabudiy
Yule mzee anashirikiana na wahuni kuficha ukweli.
Kaenda Vatican kuwashitakia TEC sababu ya kukemea uuwaji, utekaji, ufiraji na kubambikia watu kesi za uhaini.
Serikali inaamini ina majibu ya tatizo wakati kimsingi serikali yenyewe ndio tatizo😀😀 Ila siasa bhana ni ushetani mkubwa sana Yaani through yote Yale Yaliyo tokea still serikali inaona ni sawa walichokifanya na Wana hangaika tu- make sure waonekane kuwa ni wasafi
Si kuwashtaki walienda kuomba msamaha kwa papa kwa waliyoyafanya Oct29.Kwmba Papa awashauri TEC wapunguze spana na wasiwasirishe ushahidi ICC.Huyu ndiyo Professor kamili siyo mzee Propesa Aidan Mwaluko sijui mcharuko Kabudiy
Yule mzee anashirikiana na wahuni kuficha ukweli.
Kaenda Vatican kuwashitakia TEC sababu ya kukemea uuwaji, utekaji, ufiraji na kubambikia watu kesi za uhaini.
Pale 'ilmu dunyaa' isiyogubikwa na njaa au uchawa inapoonyesha umuhimu wake.Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
View attachment 3536746
Hivi kwanini walienda kwa Papa badala ya kwenda kwa Imam wa Macca?Si kuwashtaki walienda kuomba msamaha kwa papa kwa waliyoyafanya Oct29.Kwmba Papa awashauri TEC wapunguze spana na wasiwasirishe ushahidi ICC.
Wakazuga et walienda kuomba kanisa iombee Amani ya Tanzania😅😅😅Yaan muende timu ya watu 20 kumuomba Papa afanye maombi kwaajili ya amani ya Tz.Kituko