Kuongea upumbavu unalipwa shilingi ngapi?Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
Kuongea upumbavu unalipwa shilingi ngapi?Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
Public influence, random sampling ifanye hata humu JF you'll get your answers.Una-qualify vipi kuwa chama kikuu cha upinzani?
Better late than never.Huyo maza yupo nje ya system ndio maana anatema madini. Wakati wake wa kulamba asali nae alikua kama huyo kabudi tu
Kule wanakufyeka kichwa kwanza kwa uzembe wa kutofyeka wenzio shingo zao. Kule Macca ukienda kizembe mjumbe huwa anauwawa😅😅😅😅Hivi kwanini walienda kwa Papa badala ya kwenda kwa Imam wa Macca?
Huyo si ni mwana CCM?Huyu mama ape we ulinzi
Yeye mwenyewe je, hujamsikia hotuba zake. Hizo hotuba ni za kujenga umoja?Samia ni Kama amechanganyikiwa vile, anazungumza habari ya maridhiano na kulileta Taifa pamoja huku wasaidizi wake wanazidi kuligawa Taifa. BAKWATA na UVCCM wanaligawa Taifa kwa kuchochea uhasama wa kidini, Waziri mkuu kwenye hotuba zake anazidi kukoleza moto kwa kuwachamba Chadema, Polisi wanazidi kuwakamata na kuwatesa viongozi wa Chadema kama walivyofanya Mbeya na Rukwa kwenye maadhimisho ya miaka 33 ya kuzaliwa Chadema. Mafwele na genge lake nao wanazidi kuteka na kuwapoteza wanachama wa Chadema.
Umesahau alivyo simamia migogoro ya ardhi?Huyo maza yupo nje ya system ndio maana anatema madini. Wakati wake wa kulamba asali nae alikua kama huyo kabudi tu
Yeye mwenyewe je, hujamsikia hotuba zake. Hizo hotuba ni za kujenga umoja?
Nia yake ni kutumia hadaa/ulaghai ule ule anaofanya kila mara, lengo likiwa ni kumnufaisha yeye, siyo taifa.
Maji yepi..embu elaborate that'llKiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?
Unafikir hajui huyu!? Ni kujitoa ufahamu tu kwa makusudi!!Kiongozi wa Chama kikuu cha Upinzani, TAL ndo anazungumziwa na Ana Tibaijuka
Kuwa na wanachama na wafuasi wengi zaidUna-qualify vipi kuwa chama kikuu cha upinzani?
Watu ambao mikundu imesha tanuka hadi inavujisha akili unadhani utaweza kweli kujua ukuu wa upinzani wa CHADEMA?Una-qualify vipi kuwa chama kikuu cha upinzani?
Cdm sio chama kikuu cha upinzani, huko kilishavuka, cdm ni chama kikubwa nchini Tanzania. Na ushahidi ni jinsi ccm hawako tayari kwa uchaguzi wa haki maana wanajua wataingia aibu. Chama tawala na kipi ni chama kikuu cha upinzani mtapangiana wenyewe, lakini ukweli ni kuwa cdm ndio chama kikubwa Tanzania.Una-qualify vipi kuwa chama kikuu cha upinzani?
Uliishia darasa la ngapi?Kiongozi wa upinzani ni nani!?.. upinzani una kiongozi!?..huyo mama maji yamemkauka ehh!?