Prof. Tibaijuka: Kwa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya high density viunganishwe mbele na nyuma kujenga ghorofa Kariakoo!

Suala la nafasi sio la jengo Tu, je utoaji wa taka upoje, magari kupita na maegesho upoje, watu kuweza kufanya biashara na usalama wao upoje ikiwa tatizo litatokea
 
Kuna mdau anajiita think different kwenye X kueleza kwamba

See new posts



Conversation​










Think Different

@lifeofmshaba
Follow

Baada ya miaka 5 majenge mengi ya Kariakoo yatakuwa yanadondoka kama embe dodo zilizoifa mengi yana umri wa miaka 10 mpaka 15 Yalijengwa sana wakati wa JK na mwanzoni mwa Magufuli, Yamejengwa na Nondo fake zisizo na viwango, sio Kariakoo tu kuna chance majengo mengi sana yatadondoka in the next 15 years kutokana na ubora wa nondo, Serikali imeua taasisi kama TBC vifaa vya ujenzi vinatengenezwa bila udhibiti, vinaingizwa nchi vikiwa viwango vibovu sanasektaa nyingine tutakujalia na kusaga meno ni maji, mabomba fake ni mengi sana yamefikiwa chini, tutaanza upya kila kitu kama ilivyo kwenye barabaraCCM wangeondoka tu
 
Nadhani ana pensheni cha UN. Mawaziri hawalipwi pension. Kiinua mgongo cha wabunge kinalipwa kila Bunge linapovunjwa kwa wabunge wote.

Amandla...
Tibaijuka alikuwa mtumishi wa umma, alikuwa lecture UDSM, na pia alifanya kazi UN, ingawa nafahamu pia ana biashara binafsi. Lakini anapata Pension kwa utumishi wake serikalini.
 
Mbona hapo anapoishi Mikocheni A alipogia kelele kisijengwe kituo cha mafuta ndio kimeshamiri na club ya 364 imegeuzwa kuwa supermarket yuko kimya?

Alishawahi kuwa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi alifanya mabadiliko gani kuonesha umahiri wake alipokuwa UN Habitat?

Kilichosababisha ghorofa kutenguka kiuno ni RUSHWA full stop
 
1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

KARIAKOO HAKUNA PAKING HAKUNA OPEN SPACE HATA MOJA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…