mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujiji Guest House 🐼Kko ujenzi makazi takataka tu
Ova
Suala la nafasi sio la jengo Tu, je utoaji wa taka upoje, magari kupita na maegesho upoje, watu kuweza kufanya biashara na usalama wao upoje ikiwa tatizo litatokeaBadala ya kuhamasisha uokoaji,amekalia kukosoa wakati alikuwa waziri husika,ni unafiki.hivi anajua bei ya plot kariakoo, utanunua viwanja vingapi na kwa bei gani ili uweze kupata lowdensity na uwekezaji gani utakaorudisha uwekezaji huo.sometimes tusiwe wajuaji against uhalisia, Manhatan imejengwa kwenye low density? Ujenzi wa maghorofa ni swala la kitaalam, Burj khalifa lina ghorofa karibu 200 limetumia sqm ngapi? Muhimu ni kuwekeza kwenye ukaguzi wa mara kwa mara wa mjenzi na ujenzi husika unapofanyika ili kijengwe kilichobora kulingana na design na Boq, pia athari za kimazingira na kwa majengo mengine
Kuna mdau anajiita think different kwenye X kueleza kwambaMbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa sana Kwa yale maghorofa ya Kikinga yaliyojaa Kariakoo na Manzese
Baadae Mlale unono 🐼

Sasa yasije kupotea ki-kinga-kinga kama yanavyootaMagorofa ya wakinga sjui wachaga huko mengi ni uchafu tu
Magumashi mengi
Ova
Nadhani ana pensheni cha UN. Mawaziri hawalipwi pension. Kiinua mgongo cha wabunge kinalipwa kila Bunge linapovunjwa kwa wabunge wote.Hahaha Tibaijuka huwa anawaponda sana ma CCM hivi analipwa kiinua mgongo chake kwa wakati kweli?
Tibaijuka alikuwa mtumishi wa umma, alikuwa lecture UDSM, na pia alifanya kazi UN, ingawa nafahamu pia ana biashara binafsi. Lakini anapata Pension kwa utumishi wake serikalini.Nadhani ana pensheni cha UN. Mawaziri hawalipwi pension. Kiinua mgongo cha wabunge kinalipwa kila Bunge linapovunjwa kwa wabunge wote.
Amandla...
Hata walioko Zimamoto wanakula mshahara tu wakati waokoaji wa wahanga ni wananchi wa mtaaniNchi hii UTARATIBU huwa UPO kwenye KUIBA KURA TU, mambo mengine mtajijua wenyewe. UTAWALA kwanza.
Hao zimamoto hata ukimaviwa na kundi la nzi hawana uwezo wa kukuokoaHata walioko Zimamoto wanakula mshahara tu wakati waokoaji wa wahanga ni wananchi wa mtaani
Mkuu umeichekesha sana mid night hiiHao zimamoto hata ukimaviwa na kundi la nzi hawana uwezo wa kukuokoa
Pole ndugu Cheka tu maisha yenyewe mafupi hayaMkuu umeichekesha sana mid night hii
Mbona hapo anapoishi Mikocheni A alipogia kelele kisijengwe kituo cha mafuta ndio kimeshamiri na club ya 364 imegeuzwa kuwa supermarket yuko kimya?Mbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa sana Kwa yale maghorofa ya Kikinga yaliyojaa Kariakoo na Manzese
Baadae Mlale unono 🐼
🤣 🤣 🤣Hahaha Tibaijuka huwa anawaponda sana ma CCM hivi analipwa kiinua mgongo chake kwa wakati kweli?
Ni lazima Magorofa yote yajengwe katiakoo? usha wahi tembea huko Duniani?;Kujua kwingi samtaimu nako ni shida. Sasa hapo Kariakoo kungekuwa na magorofa mangapi kwa mpango huo? 😁
Wakiwa upande wa rushwa huwa wanaziba masikioAlikuwa Wapi ? Wakati Alikuwa Waziri Waache Ujanja CCM Imechoka
Hiyo ni activity mkuu, uliza budget itakayotumika hapo ni mabilioni ya fedha za ummaSelikali kuna Liquid unamwagia kwenye ukuta Unayeyuka ndani ya Dakika Tano tu.
Sio kutumia ma Gleinder na mavifaa yenu ya zamani.
SHAME