Yaani Tibaijuka kwa akili yake amuunge mkono rais bila kujali urais wake umepatikanaje kwa maslahi ya jinsia? Tibaijuka ameshatoka kwenye hizo siasa za kishenzi, na shule yake itazidi kuwa bora bila kujigeuza chawa. Hakuna mtu anayejitambua ataunga mkono mtu muovu kwa kigezo cha jinsia.Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo.
Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa wanawake bila kujali huo urais ulipatikanaje, maana ndio njia sahihi kubwa kuliko zote za kuwahamasisha wasichana popote waliko kuwa kumbe inawezekana kwa mwanamke kuwa Rais wa nchi badala ya kuwaza ujasiliamali, ajira na u miss tu.
Kwa usomi wako na jitihada zako za kuwapigania wanawake ulipaswa uwe mtu wa mwisho kabisa kumtupia jiwe Rais mwanamke ili isijekuonekana kwa wasichana wako kama urais ni kazi ngumu, hatari na isiyofaa kwa mwanamke kuitafuta kiasi cha kuwafanya wanawake kuiogopa.
Hali ilivyo sasa sio nzuri, kwakuwa uko bega kwa bega na wanaume wanaomtupia mawe mwanamke mwenzio ili aione kazi ya uraisi ni ngumu inayowafaa wanaume tu. Historia itakuja kukuhukumu vibaya, na hata wasichana wa shule yako bila shaka hawakuelewi unachokipigania. yaani unaenda anticlockwise.
Tulitegemea wanawake wote nchini mngeungana kuwaonyesha wanaume nguvu zenu kwenye maswala makubwa ya nchi, lakini loooh!!
View: https://youtu.be/RmHRNtE4FYY?si=Qk2nUN3EnmTZEs3e
Kiache hiko kimama kiendelee kuunguzwa na chuki zake mwenyewe zizalishwazo na ini lake mwenyewe. Pamoja na mapungufu yake, Samia kwenye kuomarisha elimu ya wanawaie amejitahidi mnooo, tena sana. Ni wachawi tu peke yao watakaoendelea kubisha hili kwasababu tu za chuki zao za dini.Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo.