luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata kutamka mtu una degree ya progrm fulani
Kuna graduates ambao ata post za UTUMISHI tu wao kuhitaji izo professional ni nadra sanaaa lkn progrmms izo bado zina dunda hadi leo graduates wanaongezeka mtaani , no jobs na umachinga ndio huo msalaaa juu ya msala,
Kama wizara ya Maji iliweza kufuta miradi KICHEFUCHEFU., basi sasa ni wakat wa Wizara ya Elimu kufuta DEGREE PROGRAMS KICHEFUCHEFU