Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

Profesa Adolf Mkenda mulika vyuo vikuu vyenye utitiri wa programmes ambazo ni irrelevant, unmarketable

Kuna vyuo vinapita maofisini kuokoteza watu wakusoma vyuoni mwao hadi masters. [emoji848][emoji848]

Yani wanaokota hadi vilaza [emoji851][emoji848][emoji848]

Inashangaza sana.

Yani imekuwa biashara ilimradi wapate ada basi lakini ubora wa elimu hakuna kitu.

Tutakuja kuwataja vile vyuo mnavyopita maofisini siku hizi kuokoteza watu wa kuja kusoma masters ambao hata Sifa ni mashaka matupu na mnaweka mambo rahisi ilimradi wamalize mpate ada tu basi!

Bure kabisa !
[emoji769]✓Tunasubiri tunaitaji majina ya vyuo [emoji769]
 
Quality ni wajibu wa TCU NA NACTE
Choice ni wajibu wa muombaji kama degree haina soko (yaani chuo hakipati wanafunzi) basi chuo husika kitaifuta.
Kazi ya waziri si kufuta programs bali kutengeneza na kusimamia sera.
 
Hizo nyingine zinatakiwa kuwa kozi kwenye degree programme, hii itajenga uwezekano wa mhitimu kuwa na option nyingi zaidi kwenye soko la ajira. Jaza kozi za kutosha kwenye degree programme kuweka discipline hasa kwa hawa watoto wa siku hizi wanaochukulia kusoma kama jambo la mzaha mzaha tu, muda wote ni kuzunguka huku na kule na kuchati kwenye smartphone....
 
Back
Top Bottom