Kuna vyuo vinapita maofisini kuokoteza watu wakusoma vyuoni mwao hadi masters. [emoji848][emoji848]
Yani wanaokota hadi vilaza [emoji851][emoji848][emoji848]
Inashangaza sana.
Yani imekuwa biashara ilimradi wapate ada basi lakini ubora wa elimu hakuna kitu.
Tutakuja kuwataja vile vyuo mnavyopita maofisini siku hizi kuokoteza watu wa kuja kusoma masters ambao hata Sifa ni mashaka matupu na mnaweka mambo rahisi ilimradi wamalize mpate ada tu basi!
Bure kabisa !