Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

na ndio maana anamsema vibaya jpm tena kwa kumsingizia
 
Hakika jiwe ameacha mazumbukuku wengi kweli
 
Alikwambia anahtaji msaada wako???unadhn ana taaluma ya kuungaunga kama hao wanasihasa???hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Hakuna aliyeondoka kabla ya wakati wake,ucwe zuzu kiasi hicho
sasa shida yake ni kwamba, umri wao umeenda sana. ukiwa mzee ukawa na vinyongo na mahasira ya ajabuajabu, unakaribisha maradhi ya uzee, utaondoka kabla ya wakati wako.
 
Hahahah!!!!hakika chuki zenu mtakufa midomo wazi
 
Acha kujitia ujuaji ww nan aliekwambia Assad ni Mzanzibar????hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
ambao pia hataupata kwasababu anatafuta kuwa chawa wa chadema na cuf, akimsimanga maza ambaye ni mzanzibar mwenzie. hajui kula na vipofu. usomi na hekima ni vitu viwili tofauti.
 
Mzee yupo Morogoro Muslim Unv ananoa vijana bina tatizo lolote
 
Unamzungumzia yule andunje wa kongwa???
kwani hana alternative nyingine ya maisha isipokiwa u CAG, Kama alibweteka ndo imekula kwake!! madaraka ni kupokezana ,mbona mwenzie ndugai hakunji moyo !!? Mizee mingine hovyo kabisa!!
 
Yule mzee tatizo anapenda sana media kila siku mahojiano na maswali yaleyale, kesho yupo UTV saa 3 usiku na anaulizwa maswali yaleyale anatakiwa kufunga mjadala
 
Haya mkuje wenye chuki zenu binafsi na huyu mwamba
 
Hebu lete cv yako we nguchiro uce na adabu
 
Mbona anafundisha kule Muslim University?

Halafu hebu cheki qualifications zake, angefikia hapa kama hakubobea kwenye fani yake? This was extracted from his curriculum vitae.

Membership of professional bodies:
• Associate Certified Public Accountant (CPA)[T], National Board of Accountants and Auditors
Tanzania, January 1993.
• Associate Certified Fraud Examiner, Association of Certified Fraud Examiners, USA
• July 2015 to June 2017: New York, USA, United Nations Board of Auditors. Chair Managing UN
BOAA meetings.
• November 2014 to July 2018: Member United Nations Board of Auditors Member.
• May 2013 – 2015: Johannesburg, South Africa Pan African Federation of Accountants
President and Member of Governing Board.
 
Nafikiri hammfahamu Profesa Asad ninyi. Huyu mtu ana WELEDI na ni Individual Consultant wa Accounting. Msim underate huyu mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…