Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.

Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo amesisitiza umuhimu wa kuwa na utawala bora Nchini.

“Tumezungumza namna ya kuongeza utawala bora, Taasisi kama Bunge, Serikali, Mahakama zote ni muhimu kufanya kazi inavyotakiwa, ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza,” - Profesa Assad.

Muhimu anasema faida za kisiasa za tozo sio faida ya pesa za tozo! Tusichanganye mambo. Tozo kwa mawazo yangu zibakizwe kama zilivyo. Vilevile wananchi wanatakiwa kufundishwa kulipa kodi na tozo
 
Muhimu anasema faida za kisiasa za tozo sio faida ya pesa za tozo! Tusichanganye mambo. Tozo kwa mawazo yangu zibakizwe kama zilivyo. Vilevile wananchi wanatakiwa kufundishwa kulipa kodi na tozo
[/QU
Na wewe unaakili timamu! Ama kweli mpumbavu mpumbavu tu!
 
Back
Top Bottom