Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

Kwa hiyo wizi wa Sasa unafanywa na taasisi sio? Kwani tatizo la Tanzania ni Rais au maana naona kila mnachoongea mnasema Rais

Ufujaji wa mali za Taifa unakuwa facilitated na taasisi zetu kuto kuwa imara!!! Inaelekea hujui tofauti ya URAIS na RAIS!! Rais is an individual na URAIS is an institution!!! Huko UDSM mlifundishwa nini kama humjui hata mambo basic kama hayo?
 
Wanaopanda Ndege wanajua alifanya nini! Wewe mjinga endelea kuusikiliza maneno matamu lakini matokeo zero!

Mjinga wewe unaepanda hizo Ndege hujui imekugharimu kiasi gani? Ungejua usingemtetea huyo maraehemu kwa ufisadi aliofanya!!
 
Hata huyo Samia wako anapanda hizo ndege! Wewe mpuuzi huna hela ya kupanda ndo maana unabweka hapa! Mnapenda unafiki na maneno mengi! Mataahira nyie!
 
Ufujaji wa mali za Taifa unakuwa facilitated na taasisi zetu kuto kuwa imara!!! Inaelekea hujui tofauti ya URAIS na RAIS!! Rais is an individual na URAIS is an institution!!! Huko UDSM mlifundishwa nini kama humjui hata mambo basic kama hayo?
Hata ingekuwa ziko imara kiasi gani wizi uko pale pale..

Taasisi imara ndio itazuia Watu kukilipa Posho afu waweke makaratasi vizuri au kuwahonga wakaguzi?
 
Tungekuwa na taasisi imara isingekuwa rahisi kwa RAIS kuchangisha fedha kutoka kwa wafanya biashara na kufanya project !! Hata kule kwa RAIS kuwa actress kwenye documentary kungefanywa tofauti na hivi ya "PETER PETER"!
Bunge imara lisingeruhusu Rais kukopa kopa hovyo na kushindwa kusimamia matumizi ya Serikali!! Ukiwa na tahsisi imara kazi ya OVERSIGHT inapunguza sana matumizi mabaya ya fedha za Serikali; nyie chawa wengi msingekwenda Marekani na Samia kwenda kufunga cinema kama IKULU ingekuwa inaongozwa na taasisi imara!
 
Rubbish
 
Hata huyo Samia wako anapanda hizo ndege! Wewe mpuuzi huna hela ya kupanda ndo maana unabweka hapa! Mnapenda unafiki na maneno mengi! Mataahira nyie!

Maneno yako hayafuti ukweli kuwa kwenye ununuzi wa zile ndege Magufuli kaliibia Taifa!! Lazima tupande hizo Ndege kwani ni mali yetu igawa tumeibiwa.
 
Hitler mpaka leo huzungumziwa kwa uovu aliofanya,wacha ukwel mchungu usemwe ili watu wajifunze
Nani hadi leo bado ana hasira na Hitler kwamba kila akipewa nafasi ya kuongea lazima ataje maovu ya Hitler? Au hata Idi Amini?
 
Hamia kabisa chattle ukawe unamwibia mapambio. Hatutaacha kuwahadithia vizazi vijavyo, na juu ya doa aliloitia nchi hii kwa utawala wake wa hovyo.
Ccm mmeisema weee kwa maovu yake ila hadi bado yapo.
 
Kwa hyo ukisema ukwel mchungu ni kiburi???achen yule aliyejifanya kila kitu aambiwe ukwel ili wengne wajifunze
Assad ana hasira zake na mwendazake ugomvi wao toka mwendazake akiwa bado ni waziri, ni wazi hata Assad ndio angeupata urais basi Mwendazake angekuwa anapata tabu.
 
Huyu mzee anasononeko la moyo mpaka linamkereketa.huyu Mzee anatakiwa kukubali Rais ni cheo kikubwa Sana na anakuwa anajidhalilisha kuzungumzia kitu kinachomtesa.
Hapo Rais ni cheo kikubwa Sana ndio panapopelekea kuwa na hitaji la Katiba mpya.
 
Ktiba mpya isiseme : ""kama rais akifa ,makamu wa atakuwa rais kwa kipindi kilichobaki."""hiki kipengele cha makam wa rais kuwa rais baada ya kifo cha rais mteule,ni hatari sana kwa nchi maskini kama Tanzania
 
Inaonekana Professa ilimuuma sana kuondolewa kwenye u CAG. Amebaki na kisasi tu hadi mwksho wa uhai wake.
Lakini sio yeye peke yake,mbona walishatumbuliwa wengi tu.Ana madhaifu makubwa sana huyu mtu pamoja na kujifanya mcha Mungu.Kwanza Uislsam unataka Marehem aongelewe kwa yake mazuri.
Halafu yeye ni mtaalam sana,kwa nini asifanye mambo yake mengine ya utaalam wake ,kibri chake akakionyeshe huko kwa wataalam wenziwe.Alikuwa anashangiliwa sana wakati ule na watu ambao walikuwa wanapalilia maslahi yao sasa wamepungua,Prof. ona aibu sasa na tubu kwa Mola wako na achana na Mambo ya Marehemu hayatakusaidia sanasana utadhalilika tu.
 
Ushauri mzuri umempa. Aubebe auache juu yake.
 
Back
Top Bottom