Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Unaacha vijana hawana kazi, malaki hawana skills unaenda kutumia mabilioni kununua ndege ili nawewe ujulikane una ndege lakini faida yake kipesa itaonekana wewe ukitoka madarakani

Kulikuwa hamna upungufu wa ndege nchini ndege za kampuni binafsi na za nje zilikuwepo. Angetaka ndege za ujiko Na kazi maalum asingezidisha 3
 
Ukiajiri bila ya kuwa na mapato utawalipa nini hao vijana? Au unafikiri pesa ya kununua ndege ingetosha kuwalipa hao vijana miaka yote? Lazima uwekeze kwanza ili uwe na mapato ya kuwalipa hao vijana unaowasema lasivyo utawalipa mara moja then unakaribisha migomo ya hao waajiriwa na kuleta vurugu tupu.
 
Eithiopia airline wanaponunua cash wao ni shirika binafsi?

South Afrika Airline wana ndege 8 kama sijakosea ambazo walinunua cash, je hao ni shirika binafsi?
 
Warundi bwana!!!!!!!
 
Kqma serikali isipotafuta namna ya kujiongezea mapato unadhani ajira zitatoka wapi ndugu yangu. Kila siku tunataka serikali ituajiri wakati inafanya jitihada za kuongeza mapeto, sisi tunailamu tena serikali kwanini inafanya hivo. Ukiwa na njaa hatukupi chakula bali jembe ukalime ili upate chakula cha kujitoshelesha ili usiwe omba omba
 
Sasa wewe zezeta mmoja unakaa kwa Shemeji unaweza mzungumzia vipi Assad? Ungeweka Takwimu si kubwabwaja.. tu kisa Kumtetea hilo jizi la kisukuma..

Weka Hoja Acha kuleta vitu personal hapa.
 
Yani bora limeenda tu na halirudi tena. Ingewezekana kabla ya kuzikwa wangechukua sampuli za ubongo wake waende maabara kupima na kutafiti jamaa liliumbwaje na kuwa natabia ya hovyo na ya kukera ili asije kutokea Rais mwengine wa hovyoooooooo.
Kwahiyo inawezekana tatizo ni Mungu maana ndio tunaambiwa anaumba binaadamu hivyo inawezekana kuna tatizo kwenye uumbaji?
 
Ungetaja mashirika ya ndege yaliyonunuliwa cash ndege zake Sio blahblah.

ni nadra sana kukuta mtu kakopa kununua ndege unless ni biashara inaokufa lakini mashrikia karibia yote wananunua cash kuanzia emirates mpaka precision air!
 
Kuna ubaya wa kuwa na chuki binafsi kwa maslahi mapana ya taifa????
Ukiwa unamchukia mtu huwezi kuona zuri lake hata kama lipo kweli na kwa sababu kinacho kusukuma ni ile chuki basi kile utakachokieleza utakieleza si kwa njia ya kukosoa bali kwa njia ya kuonesha picha mbaya kwa huyo unayemzungumzia. Kwahiyo tatizo sio kuwa na chuki binafsi kwa mtu bali ni kutumia hiyo chuki binafsi kutaka na wengine tumuone huyo mtu mbaya kisa tu wewe unamchukia.
 
mbona Emirates wana nunua ndege kwa cash pia saudia arabia airline by cash qatar air line pia wanunua cash
 

izo ajira znatoka wap bila kuwekeza? hata hao wanaoendeesha izo air tanzania unadhan hawajafurahi kupata izo ajira?
 

malcom wewe ndio kichaa wa kuokota makopo: hujui nchi zinazomiliki ndege serikali yenyewe ndio inayomiliki sio makampuni: 1: dubai ndege zinamilikiwa na serikali 2 : alitihad air line abudhabi uae inamilikiwa na serikali 3: saudi arabian air line inamilikiwa na serikali nahisi china air line pia serikali
 
Hakuwa na mipango, alikurupuka na zaidi alikuwa na malengo ya kujitafutia sifa binafsi kwa gharama ya Taifa zima na watu wake ambao wengi wanaishia katika umasikini .
 
We ndio pathelic mkopo wowote ule una masharti na kwa kitu km serikal lazima iwe na vipaumbele sasa km jamaa kakopa pesa for basic needs afu kanunua ndege cash ww unaona ni sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…