Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Wewe zwazwa mashirika mengi ya ndege yanatengeneza hasara consecutively hata kwa zaidi ya miaka 10, hiyo pesa ya kununua ndege cash wataitoa wapi? mashirika mengi hata yale makubwa yanayoweka order ya ndege nyingi lazima yanafanya lavarage ya gharama za uendeshaji kwa kukopa ndege na kulipa kwa installments kadri yanapokuwa yanafanya biashara, yangekuwa yananunua ndege cash hasara zingekuwa kubwa na wasingeweza ku maintain operations....
 
Huyu porofesa anajulikana kwa ufisadi alioufanya NSSF kipindi cha Dau.

Sio msafi at all,ni wale wale wapigaji kama hakina Said Bagaille.
 
Em edit na uandike vizuri... Maana sijaelewa uandishi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu porofesa anajulikana kwa ufisadi alioufanya NSSF kipindi cha Dau.

Sio msafi at all,ni wale wale wapigaji kama hakina Said Bagaille.
Hivi kwanini uhuru wa vyombo vya habari uliminywa na mtu kutaka serikali isemwe kwa mazuri tu bila kukosolewa!?
"You are not free to that extent" maneno ya nani akiashiria nini?

Kuweni na utu na aibu, haya uyasemayo ni kwakuwa palikuwa na uhuru wa kuhoji na kuwaweka wazi waTanzania ma wakati huo ukihitaji 'data' kwa wizara/sehemu yoyote unapata na kuiweka wazi kwa wazalendo wote na si wazalendo uchwara

Jishughulishe kufikiri kidogo basi kama, JK angeamua kuficha mambo kama kipindi hiki hivi si angeitwa Malaika au?
 
Kuna watu wakisikia mtu ni profesa basi wanadhani yuko very exceptional kumbe hivyo ni vyeo vinavyotokana na mtu kufundisha chuo kikuu ambapo ziko ngazi tano sawa na mtu aliyeajiliwa serikalini ambaye naye ana ngazi tano za kupanda madaraja.
Ingawa kwa wahadhiri mtu akiwa na Phd anaanzia lecturer kisha kama akipublish papers kadhaa na au kufanya consultancy hupanda kuwa senior lecturer na baadae associate professor na kisha professor. Kwa hapa kwetu paper sio kama zile zunazoibua mambo mazito kama zile paper za wahadhiri wa US na Ulaya ambapo mtu anaweza kuibua theory au ugunduzi wa kitu au njia ambayo inachangia katika kuongeza knowledge katika taaluma yake. Pia mhadhiri akigundua kitu anaweza kurushwa haya madaraja na kuwa professa moja kwa moja.

Hushangai hapa jf huu utumbo maprofessa wetu wanaosema ambapo hata mtu wa darasa la saba anaona kabisa wako wrong!
 
Ni dhahiri atakuwa alikuwa anafanya kazi kwa kutumwa na JPM akamshtukia! Hata kujitokeza sasa kaburi likiwa bado bichi ni dhahiri hafanyi haya kwa dhamiri yake bali kutumwa! Bora angekaa kimya tubaki na nadharia zetu kumuheshimu!
 
Prof kasema kweli Tupu, Nchi gani Duniani iliwahi kununua ndege zake cash ? Hivi unajua gharama ya ndege mpya wewe?
Anyway ni kwa sababu Magufuli alinunua ndege used ndo maana,ndo maana zingine zipo grounded
 
Tanzania ilipata mkosi mkubwa sana mwaka 2015
 
Ukimsikiliza prof. Assad utaelewa kuwa alikuwa bitter, angeweza hata kusema, "anayenunua ndege cash ni m**nge" sema tu mazingira hayafai. He's bitter with Magufuli regime, unajua kuna wale wametoa constructive criticism kama Zitto, Ila prof yeye ameonyesha chuki ya wazi kabisa. Asamehewe tu!
 
Tanzania mna ndege gani ya kufananisha na ndege za Ethiopia Airline?
Halafu ni Bunge lipi lilimruhusu Jiwe anunue hizo ndege?
Jiwe ni jizi la majizi hapa Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…