Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Naamini ww uko katika mjuumuisho wa 60% ya vilaza alowaongeleaHata kuandika hujui, utaelewaje kilichoandikwa wa watu wanakuzidi akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini ww uko katika mjuumuisho wa 60% ya vilaza alowaongeleaHata kuandika hujui, utaelewaje kilichoandikwa wa watu wanakuzidi akili
Kama ile iliyohojiwa na Ben Saanane na kuleta kizaazaa au sio mkuu?Prof. Pimbi huyu.
Na mashaka pia na elimu yake.
Ww ruka juu shuka chini mm nakumenya tu...Kwa hilo wezere lako laini hakika nafaidi mama watoto.
Eheeeee kama vile ulikuwa kwa kichwa yangu.Kama ile iliyohojiwa na Ben Saanane na kuleta kizaazaa au sio mkuu?
Mkuu inauma sana basi tu, sasa ukikutana na Pimbi kama hizi zinazo bwabwaja kama kuku aliyekatwa shingo unawaangalia na unacheka na kujisemea "hiii"!Eheeeee kama vile ulikuwa kwa kichwa yangu.
Em edit na uandike vizuri... Maana sijaelewa uandishi huuAmshasutwa na kicho kipenger alichoweka huyo mtoa maada, na kama wewe nae unacho kingine weka hapa vinginevyo orof asaad ni tapeli hadi kwa mungu.
Aje hapa nae ajibu manunuzi aliyofanya akiwa CAG na safari alizopanga bia impact kwa nchi na bila kufuata utaratibu.
Hivi kwanini uhuru wa vyombo vya habari uliminywa na mtu kutaka serikali isemwe kwa mazuri tu bila kukosolewa!?Huyu porofesa anajulikana kwa ufisadi alioufanya NSSF kipindi cha Dau.
Sio msafi at all,ni wale wale wapigaji kama hakina Said Bagaille.
Kuna watu wakisikia mtu ni profesa basi wanadhani yuko very exceptional kumbe hivyo ni vyeo vinavyotokana na mtu kufundisha chuo kikuu ambapo ziko ngazi tano sawa na mtu aliyeajiliwa serikalini ambaye naye ana ngazi tano za kupanda madaraja.Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?
Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?
Ukishakuwa CAG hushiki Tena ofisi ya imma except politics za vyamaHuyo Assad hafai kuwa mtumishi wa uma kama bado anafundisha UDSM serikali imuondoe, ni hafai hafai
Prof kasema kweli Tupu, Nchi gani Duniani iliwahi kununua ndege zake cash ? Hivi unajua gharama ya ndege mpya wewe?Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi.
Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash.
Utafiti unaojulikana Duniani kote uliofanywa na Chase & Associate unaonyesha kua ndege zote za biashara 73% hununuliwa kwa cash ama wanaita outright purchase. Je, wote hao 73% ni vichaa? Ama profesa ndie ana akili kuwazidi?
Profesa anataka kuaminisha umma kua njia pekee na ya lazima ya kununua ndege ni kwa mkopo, kwa cash unakua kichaa, hivi huyu jamaa ana akili kweli?
Profesa ameongea kama mtu ambae hakwenda shule, profesa analazimisha mtazamo wake ndio uwe mtazamo wa watu wote.
Nilikua namkubali profesa lakini hii la ku-personalize tofauti zake na Magufuli na kumshambulia marehemu kua ni kichaa tena kwa mtazamo wake binafsi imesababisha nimemuondoa akili profesa Assad.
Hivi profesa yeye kwenye maisha ama kwenye public settings ameweza kufanikisha lipi?, Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi. Asijionyeshe kua no brainy saana, alipewa nafasi mbona hakutuonyesha huo u brainy wake?
Analalamikia kua hakupewa nyaraka za SGR, JNHP, ATCL, kwa nini hakujiuzuru kuonyesha credibility? Maana hapo ni sawa na kua alizuiwa kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa maslahi mapana ya nchi, kwa nini hakujiuzuru?
Tanzania ilipata mkosi mkubwa sana mwaka 2015Unanunuaje cash wakati wafanyakazi wako umewakazia more than 5 yrs hakuna nyongeza, vijana ajira hamna, amesema cash ina matumizi yake kwa issue kama hzo unapiga mkopo, hakuna haja ya kulaza njaa watu alaf unaenda kununua Boeing Kwa keshi unakuja kuliweka ardhini haliendi popote linakula hela ya maintenance, huku vijana mtaani wanakomaa na vibanda umiza, kwa dharau unawaambia wajiajiri na unasepa chato kutengeneza uwanja wa ndege wa kimataifa.
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion most of them zipo ground zinanyewa na popo huku fast jet ipo out of action.....Alaf Mimi msinikumbushe habari za jiwe kabisa aisee...the worst president ever
View attachment 1749154
Tanzania mna ndege gani ya kufananisha na ndege za Ethiopia Airline?Ethiopian Airlines fleet - Wikipedia
en.wikipedia.org
Soma hapo ujue Eithiopia Airline wanamiliki ndege ngapi walizonunua cash na order walizoweka kwa cash kuletewa ndege na ambazo wamekopa/lease.
Halafu mtu anakuja kuropoka eti kununua cash ni ukichaa.
Mtoto mzuri una maneno matamu ukiwa kwny heat.Ww ruka juu shuka chini mm nakumenya tu...
utaongea lugha zote
Mtoto mzuri una maneno matamu ukiwa kwny heat.Ww ruka juu shuka chini mm nakumenya tu...
utaongea lugha zote