Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Approx 100 likes in 12 hours. Ujue watu wanafuatilia topics za JF Great Thinkers. [emoji16][emoji16]
 
Naomba niku ignore kama mwenzio, soma between the lines halafu ndio uje hapa ondoa mihemko na uokotolezi wa quotation/s ambazo hujatuliza kifikicho chako

Nakupita kushoto
Ni kwa sababu ya uzwazwa wako kwa hiyo huwezi kutetea hoja zao zaidi ya kudindia hovyo. You are useless
 
Cheki sasa akili nyingine hii,unalinganisha ndege za matrilion vs mafuta ya kula lita 1?

Akili za kimaskini ni noma sana.
Of course familia yangu ni ya kimasikini, ndio maana kwangu sina wazo la kununua hata gari kwa cash sembuse ndege!, ila kumwambia bibi na shangazi zangu ni wajinga kwa kuweza kununua wanachokiweza, wewe na huyo aliyesema tutatifuana.
 
Acha Blaah Blaah hapa kama ni muongo toa reference ya hayo mashirika au nchi zilizonunua ndege kwa cash
 
Hivi wewe unajua maana ya maneno "outright purchase"? kwa nini hutafuti maana yake kwanza kabla ya kuja hapa na kujaribu kumdhalilisha mtu?
 
Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.

Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.

Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Mkuu vipi isipoingiza? Tulinunua dunia ikapatwa na majanga ya coronavirus...
 
Issue kasema hakuna anaenunua ndege Cash, sasa mara ya kusema sijui makampuni yenye mizizi yake hiyo ni yako, na ndio maana mimi sina uprofesa ila nahisi huyo profesa wenu hayupo timamu kichwani
 
Hakuna shirika la ndege linaloongozwa na wataalam wa Aviation wanaonunua ndege kwa cash!!!! Ni nchi ya JIWE peke yake kwavile shirika linaendeshwa kisiasa!! Ndio maana Wazungu walipogundua ujinga wenu wakawasukumizia mnunue ndege nyingine mpya wakati mashirika ya ndege duniani yalikuwa yanauza ndege zao kupunguza hasara!!

Ndege isiporuka na kukaa ardhini ujue inatengeneza hasara, ndege inatakiwa iwe hewani wakati wote ili itengeneze faida. Ndege ikiwa imekaa ardhini ni wakati wa matengenezo tu!! Lakini we nenda pale JNIA utakuta ndege za ATCL zimepark!!!
 
Mungu ametusaidia sana
 
Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.

Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.

Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
Airline ni nini alimaanisha?
Bavicha ni shida
 
Hakuna Prof Mwongo Kama Assad.. Ukiona mtu anaanza kwa maneno ya dini na sala ujue ni tapeli
 
Kumbuka huyu bwana alitekwa na Wasiojulikana wa Magufuli kabla ya kuachiwa baada ya kelele kila mwanadamu ana nyongo
Alipokanusha mwenyewe kuwa hajatekwa, hukumsikia au uongo ndo mmeweka mbele?
Taarifa zenu nyingi ni za uongo.
 
Nimeamini mwamba JPM alikuwa anaogopeka balaa, huyu jamaa alikuwa kimyaaa leo baada ya mwamba kuondoka ndiyo anabwabwaja.
 
Sasa na wewe unaacha kuleta ushahidi wako ukauelezea kwa mapana yake unamshambulia profesa.

Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe, mwendazake na profesa wote mpo kapu moja "VICHAA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…