Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Huyo ni Huyu. AsikusumbueView attachment 1749133

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Haka kajitu polepole kenyewe sasa ni kafisadi kamekula pesa za CCM kwenye udalali wa ununuzi wa wapinzani na kurudia chaguzi kwa gharama kubwa pesa ambazo zingeweza kujenga daraja tokea Dsm mpaka Zanzibar , ununuzi wa wapinzani umeigharimu Taifa pesa nyingi
 
Ita waandishi zungumza mbele yao ujinga wako huu
Watanzania wanajua ukweli kuwa ununuzi wa Ndege kuna ufisadi wa kutisha hakuna mtu atathubutu kuitisha wandishi kukanusha hilo
 
Mimi nawambia watu kwamba hizi story za ndege sijui rocket na mahesabu ya ma trilioni na bilioni

Hatuyaelewi wala mmakonde wakule ndani hawezi yaelewa,ila akili ya mmakonde wa kule ndani ndani

linapokuja swala la kuchagua Rais wa kweli na asiebahatisha "akili zinarudi na zinakuaga level 1" endeleeni

kumnyooshea Vidole JPM,utendaji wake,mawazo yake,nk ila kwenye sanduku la kura mmakonde huwa hakoseagi hata siku 1.
 
Usikariri, gari ikiwa inarudi nyuma unatakiwa udandie mbele, na ikiwa ianenda mbele dandia nyuma... Ukikariri kudandia ni nyuma tu siku utakutana nayo inarudi nyuma ufe..

Wakati akiwa huko, kuna pahala panaposema yeye ndo kaiba?
Ukila sahani moja na wanyang'anyi na wewe ni mmoja wao
 
Acha upotoshaji ww... kama hivo ni kweli report ya CAG Kachere ingeonyesha hivo. Lakini hakuna mahali waliposema kuna hela zimeliwa. Kuwa na adamu ww
 

Na ndio maana mashangazi zao waliambiwa watabondwa.

Na mwaka tutawadhulumu tena hela za korosho kama kawa ili sanduku la kura waendelee kutupa ushindi wa kishindo
 
kwahiyo kile kimombo chake ndio cha hadhi ya profesa? yule sio msomi, amezidi uana harakati. ana hasira na sio wa kuaminika kwenye sector ya umma. ze ze kibao, anachanganya tenses balaa.
 
Mbwa nyie na wanafiki mna Bahati kiboko yenu hayupo , magufuli kaondoka ndo mnajifanya kufungua midomo yenu kama mngekua wanaume kweli mngeropoka wakati yupo hai mbwa nyie magufuli aliwanyoosha Manina zenu sasa hiv ndo mnajitia mna sauti wanafiki nyie ... ila marehemu alijua kuwanyoosha mbwa nyie ***** zenu
 
Ana chuki za kipumbavu Sana huyu msomi wenu,Sasa ndio Nini kupambana na Marehemu???
 
firm orders, purchase, deals etc ni maneno yaliyotumika sana katika quote uliyoonyesha hapo juu. Ni yapi yana maana ya kukopa na yapi yana maana ya kulipa taslimu.
Kwa bahati mbaya pia link ya kwanza ya guardianjet haifunguki sijui kwa nini. Anyway nimegoogle na kuipata na kukuta ni mjadala mkubwa. Naweka hiyo link tena Best Way to Buy an Aircraft: Cash vs Leasing vs Financing - Blog post by Guardian Jet
 
Acha upotoshaji ww... kama hivo ni kweli report ya CAG Kachere ingeonyesha hivo. Lakini hakuna mahali waliposema kuna hela zimeliwa. Kuwa na adamu ww
Report ya CAG imechakachuliwa kulinda fedheha za nyinyi wanufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
 
Unafiki unao wewe mbweha kwani wewe ndiyo unakuja na mifano ya kijuha kwa vigezo haramu vya kishamba, wakati akiwa Hai walithubutu kusema lakini walibambikiwa kesi, wakaporwa mali zao kufungiwa Account zao, ubabe wenu wa kipumbavu ndiyo umempelekea laana huyo boss wako akafariki, acha ujinga
 

Ki link chako hakifunguki. Au ni katika mambo yetu ya zile janja janja?
 
Ana chuki za kipumbavu Sana huyu msomi wenu,Sasa ndio Nini kupambana na Marehemu???
Unataka afiche maovu unyanyasaji uonevu mateso udikiteta wa marehemu magufuli ili iweje? Kwa manufaa ya nani? au ni Kwa manufaa yako wewe mnufaika wa udikiteta wake?
 
Jibu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…