Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Report ya CAG imechakachuliwa kulinda fedheha za nyinyi wanufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
Kwahiyo hata sasa bado mnadanganywa au sio.... heheheheh kumbe hujui hata unachosapoti
 
Hawa majamaa labda walitaka mkopeshaji awe mzungu....
 
Hawa majamaa labda walitaka mkopeshaji awe mzungu....
Communication serikalini napo ni shida.

Wengi atukuelewa ya kwamba kumbe walichofanya serikali ni kuwatua mzigo tu ATCL wa kwenda sokoni moja kwa moja, jukumu hilo wamechukua wao kununua ndege lakini aina maana ATCL ndege wamepewa sandakalawe.

ATCL wanamkataba na serikali kama wangeingia na mtu mwingine yoyote na tena wanalipa kwa lessor (serikali) wapate faida hasara hayo sio matatizo yao.

Kukusaidia nakupa jembe ukalime, badala ya kukulisha kila siku; ndio serikali ilichofanya kwa ATCL.
 
Pole mhanga wa ufisadi
Kasema kununua Airline kwa kutumia Taslimu.

Kwasababu inapoingiza fedha deni linalipwa.

Taslimu ziingizwe kwenye Elimu Afya ya Jamii na Miundombinu ya kuunganisha Vijiji kwa Vijiji.
 
Hiki kibabu kungekuwa kishapu kingeshakufa kwa kukatwa panga kichawi mno,
Maeneo mengi watoto bado wanakaa chini madarasa hata hayatoshi, mahospitali na vituo vya afya hamna wafanyakazi wala vitendea kazi, maji ndio kabisaa tunachangia na wanyama. Ni shida sana.
Hizo shida Ni multipleir effect huwa haziishi, wakati wewe una shida na dawati Kuna mwingine ana shida na usafiri wa ndege awahi kwenye biashara zake atakazolipa kodi ya kununulia dawati la kusomea mwanao
 
Na wewe huna tofauti naye na wa mfano wenu wako wengi wachache katika 100 mpo watatu hivyo haisumbui kitu
Kwa sasa sio muda wenu wa kuelewa mtaelewa huko mbeleni
Kuelewa taratibu inaruhusiwa
We jitoe akili tu, lakini ukweli unaujua.
Wachumia tumbo mlibanwa mbavu sasa mnajipendekeza kwa mama kilasiku kumuimbia mapambio.
Mnasahau mama ana ilani mkononi na ameahidi miradi kuendelea sasa kama mna tiatia huruma mnataka kulegezewa ilimuanze upigaji mtashangaa machoyenu mtakapo endelea kulimia meno.

Muda si mrefu mtaanza kujaza manyuzi yenu ya kumponda na tutawakumbusha moja moja jinsi mnavyo shangilia ujinga wenu sasaivi.
 
Hapo ndio ujue jpm anaakili, watu walidhani atcl wamepewa ndege free Kama dela la kitchen party
 
Mkuu hao chawa maza anawajua siku nyingi sio wageni kwake, ndio maana Kuna wengine siku ya kuwaapisha anasema hawajui kwa sura kwa maana nyingine anajivua lawama
 
Prof Ni amekuwa mpuuzi kwa upuuzi wa kiadui binafsi.

Anataka kuuleta kitaifa.

UFIPA MWAMBIENI PROF DUNIA KIJIJI.
 
Sawa Team Praise, sisi watanzania tunataka mambo ya uwazi na sio kutufungia kwenye boksi halafu unatuletea masimulizi ya kusifia tu na kufanikiwa wakati uhalisia haupo hivyo

Kwanini mambo ya ATCL yalihamishiwa pale White House ili CAG asipate mandate ya kukagua?

Endeleeni kukumbatia fikra za ndani ya boksi.
 
Mkuu hao chawa maza anawajua siku nyingi sio wageni kwake, ndio maana Kuna wengine siku ya kuwaapisha anasema hawajui kwa sura kwa maana nyingine anajivua lawama
Wengine wanasema hawaikubali miradi iliyo anzishwa na Magu lakini mama anakwenda Ug kuendelea kuweka mambo sawa sasa miradi inaendelea kama kawaida na juzi tumemuona PM anachanja buga Rufiji hydropower kucheck mambo yanavyokwenda.

Kunawatu watajinyonga kama yuda kwa usaliti.
 

Unasema tunasifia tu, hebu taja kinacho sifiwa tu na hakionekani.
Sazingine mkuu alikuwa anachukuwa maamuzi mwenyewe sababu tulikuwa tunanuka rushwa na ujanjaujanja wa kupiga kilamahali.
Ndio mana kunavitu alikuwa anasimama man alone na tunaona matokeo mazuri mitaani.

Mkuu asikuambie mtu, wananchi hawataki bla,bla, nyingi za kujifanya mnapiga mahesabu sijui uwazi mara sijui ametumia pesa bila idhini ya bunge blabla blabla, watu sio wajinga wanapima matendo.

Miaka yote tuliyokuwa tunajifanya uchambuzi uchambuzi mbona tulikuwa tunapigwa tu na hakuna cha maana.

Chuma kimepiga kazi miaka mitano tu tumeona mambo ambayo watu hawakutegemea yamefanyika na kilammoja ameona.

Acheni dharau, mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.

Nawengine mnamkubali kimoyomoyo ila humu mnaamua kufyatuka tu kama manati.
 
Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarila
 
Hapo ndio ujue jpm anaakili, watu walidhani atcl wamepewa ndege free Kama dela la kitchen party

Serikali sio aircraft leasing company. Jiulize gharama na matarajio (prospects) za serikali katika hiyo “biashara” ya kununua, kumiliki na kukodisha hizo ndege kwa ATCL na Ikulu (I presume) pekee.
 
Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarila
Mkuu, wanafiki tu, mbona hawamtetei rugemarila
Watatulia tu watumwa hawa.

Magu ameacha misingi imara kwa wananchi kuelewa kwamba tunauwezo wakufanya mamboyetu wenyewe sasa hawa wabeba makoti watasubiri sana.

Wanaambiwa mashirika ya ndege duniani kwote yamerecord hasara kubwa kutokana na maradhi ya korona wenyewe wana kaza shingozao ATCL tu, utadhani ATCL ipo sayari nyingine.
 
Hilo zee limekaa kaa kama nguruwe silipemdi hata kuliona. Anasali hdi sigida wakati ni mnafiq mkubwa. Alikuwa wapi kulalamika wakati anaemchukia akiwa hai. Analalamika sasa huku akijua anaemlalamikia hataweza kumjibu kitu. Hasa watu tumeshawajua na walidhani watafanikiwa kumbe ndiyo wamejizika wenyewe akiwemo ma Zitto na timu yake ya Mbowe Lema Lissu na yule jambazi Lema. Tuko imara sana kulinda Nchi yetu. Na hao wanaodhani Magufuli kaondoka wanajidanganya. Bado yupo tunaishi nae mioyoni mwetu. Hatutakubali kuturudisha kwenye ufisadi kwa njia yoyote tena.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
tulipaswa kumwombea zaidi... labda angekuwa hata sasa... roho inaniuma sana. Mwaka mmoja tu mbele angekaa, sgr ingekuwa tyr kashaizindua... dah
 
Kifo hakiepukiki mkuu "Freiston" tumuombee mama Samia apambane kumalizia kazi nzuri walizo anzisha pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…